Elections 2010 Garama za kurusha kipindi kwenye luninga

manyusi

JF-Expert Member
Mar 3, 2009
292
170
Habari wana jamvi naomba kufahamishwa garama ya kurusha makala kwa muda wa saa moja kwenye luninga kama ITV au Star TV leave away TBC maana huwezi watenganisha wao na CCM kuna makala moja ya uchaguzi tarime tukiirusha tu kwenye TV Chadema tunachukua nchi kuna mambo mengi hayakuonyeshwa katika uchaguzi wa Tarime hasa maoni ya wananchi juu ya Ari mpya Kasi mpya na Nguvu mpya ambayo wana tarime wameiita ni ari mpya kasi mpya na nguvu mpya ya umasikini!Uone umasikini uliokithiri kwa watanzania kuna dada mmoja amenifurahisha amesema amekalia jiwe darassni tangu darasa la kwanza hadi la saba na sasa ni mtu mzima ana watoto ambao nao wanakalia mawe darasani hadi leo. Can u belive this?
 
Hiyo itakuwa ni Enhancer nzuri sana, japokuwa najua wapigakura kufika leo wameshajipangia vichwani watampigia nani!!
Iweke mkuu, we gonna grab some points to finalise the game!
 
Naona mpaka sasa swali la msingi halijajibiwa.
Wadau gharama za kurusha kipindi kwa lisaa limoja ni shilingi ngapi?
 
Hivi wataalam wa media hamna Bongo? au wafanya biashara hao wako wapi; mnaambiwa biashara mnafanya mizaha; anyway nimepaya habari hizi huenda zikasaidia

1. STARTV TANZANIA-Brightens Your Day

2.
Name of the CompanyITV Tanzania Street AddressMikocheni Light Industrial Area, Plot 82 A P.O. Box 4374 CityDar Es Salaam Province Postal Code Telephone No.+255 (0)22 277 5914 / 5916 Fax+255 (0)22 277 5915 Emailinfo@itv.co.tz
admin@itv.co.tz
production@itv.co.tz
ITV@ipp.co.tz
advertise@itv.co.tz
accounts@itv.co.tz
Websitehttp://www.itv.co.tz

jaribu kuwatafuta hawa IPP

Ippmedia.com - Ippmedia kama itasaidia
 
Habari wana jamvi naomba kufahamishwa garama ya kurusha makala kwa muda wa saa moja kwenye luninga kama ITV au Star TV leave away TBC maana huwezi watenganisha wao na CCM kuna makala moja ya uchaguzi tarime tukiirusha tu kwenye TV Chadema tunachukua nchi kuna mambo mengi hayakuonyeshwa katika uchaguzi wa Tarime hasa maoni ya wananchi juu ya Ari mpya Kasi mpya na Nguvu mpya ambayo wana tarime wameiita ni ari mpya kasi mpya na nguvu mpya ya umasikini!Uone umasikini uliokithiri kwa watanzania kuna dada mmoja amenifurahisha amesema amekalia jiwe darassni tangu darasa la kwanza hadi la saba na sasa ni mtu mzima ana watoto ambao nao wanakalia mawe darasani hadi leo. Can u belive this?

Manyusi shukrani sana ndugu yangu kwa uzalendo na mapenzi yako kwa nchi yetu, tunaomba hiyo clip ututumie hapa jamvini ili tuweze kuwatumia marafiki zetu na ndugu na jamaa kwenye email zao haraka iwezekanavyo wakati tukisubiri kupata utaratibu wa kurusha kwenye TV, hilo ni muhimu sasa kaka, mimi mwenyewe nahitaji sana advertise kama hizo kwani nimekuwa nikiwatumia clip za videa na picha mbali mbali ndugu jamaa na marafiki walio kwenye adress book zangu za email, hivyo nikipata hiyo nitakuwa nimepata kitu kizuri sana cha kuwashawishi watu wanaonizunguka kupigia kura Wazalendo wa kweli na ninapata response kubwa sana na inatia moyo kuona watanzania wenzangu wamekuwa na mwamko mkubwa wa ukombozi.
 
Back
Top Bottom