Ganzi ya kung'oa jino!!

Man Ngosha

JF-Expert Member
May 2, 2012
219
69
Habari wana Jf!!
Nadhan mnakumbuka niliomba ushauri kuhusu tiba ya jino bila kung'oa,nawashukuru wote mlionipatia ushauri mwingi ikiwemo Root canal treatment na dawa nyinginezo!!niliamua kwenda kwa hospital kumuona doctor wa meno,mwanzoni nilipigwa xray ili kubaini kiini cha tatizo na nikapewa dawa tu za kutumia kwa maelezo kuwa tatizo likiendelea nirudi tena!!Baada ya kutumia dawa bila mafanikio,LEO nilirudi tena kwa doctor,na akaniambia kuna options 2 i.e Root canal treatment na kung'oa!!Kutokana na ushauri wake juu ya uhakika wa canal treatment kwamba huwa inafeli na huenda tatizo likajirudia baada ya muda!!Niliamua kung'oa jino!!!
SASA,WASIWASI WANGU NI JUU YA GANZI NILIYOCHOMWA KWANI HADI HIVI SASA BADO KICHWA CHOTE KIZITO NA TAYA LOTE!!JE,GANZI HUDUMU KWA MUDA GANI?? NIMECHOMA SINDANO MBILI (2)
Naombeni mwenye mwanga juu ya hili anieleze,manake napatwa na mashaka isije ikawa ndo kuparalize upande mmoja wa kichwa!!
Natanguliza shukrani za dhati!!!!
 
Inaweza kuchukua mpaka masaa 24,ila yakizidi muone tena daktari wako.
 
Ok.wacha nione mwisho wake.

Mambo kaka. Ganzi yako iliisha?
Hivi wakat unachomwa ganzi mdomoni maumivu yake yalikuaje mpenzi.. Makali sana?

Maana nataka niende nikang'oe gego la mwisho limetoboka. Ulienda Dispensary gani hapa Dar
 
Mambo kaka. Ganzi yako iliisha?
Hivi wakat unachomwa ganzi mdomoni maumivu yake yalikuaje mpenzi.. Makali sana?

Maana nataka niende nikang'oe gego la mwisho limetoboka. Ulienda Dispensary gani hapa Dar
Kwa muda mrefu naona unafuatilia na kukoment nyuzi za mambo ya jino😅. Mungu akupe wepesi.
 
Hata mimi ndo nnachopitia. Nilitolewa jino ambalo liligoma kuota, nna ganzi mpk leo na ni wiki 3, kwenye kuuliza ni kwamba walichokonoa nerve ya usoni ndo mana pana ganzi lakin panaweza kupona penyewe baada ya miez m3 hadi6
 
Pole, ninakutakia upone haraka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom