Gaijin na Regia: JF Women of the Year 2010

Status
Not open for further replies.
great thinkers!! Are these people really women?
You may end up calling a man jf woman of the year!!
Hope you understand what i mean.
Just remember that we have very few ppl who use their real names here.
 
Superman na wengineo.Ninawashukuru wote,Superman kwa kuanzisha thread hii na wote walionipendekeza katika hatua za awali mpaka hatua ya kunipigia kura.Nawashukuru sana.

Binafsi huwa ninapenda mashindano ya aina yeyote ile ili mradi tu yafuate taratibu na kanuni.Niliona na kufuatilia tangu mchakato ulipofikia hatua ya kupigiwa kura za kupata mshindi.Ofcoz niliona mapungufu kadhaa lakini by then nilikuwa nimeshachelewa lakini nitayaweka wazi baaaye kwaajili ya kusadia michakato kama hii kwa siku zijazo.Shindano lilikuwa dogo laikni limeleta changamoto kadhaa,linahuisha JF na hata chipukizi wengine wanapata morale,wawe wanaume au wanawake.Binafsi nilifurahi nilipopendekezwa and am still proud of it.

Nimesoma mawazo ya Gaijin kuhusiana na mtazamo wake kuhusu tuzo.Amependekeza mimi ndio nipewe tuzo ya shindano hili.Kwa kuwa aliyependekeza naye ni mshindi basi nami nikiwa kama mwanasiasa ninayeamini katika mashindano mbalimbali na kama mwanaharakati wa masuala ya jinsia na ulemavu,nilnayeamini maana halisi ya mfumo dume,Ninaipokea tuzo hii ya shilingi laki moja kwa mikono miwili na kwa heshima na taadhima.

Superman.Naomba zawadi hiyo umkabidhi Maxence kama mchango wangu kwa JF...please fikisha.

Nashukuru sana kuwa JF Woman of the year 2010.

Aluta continua

umenikosha kwenye hiyo signature, mangwale wanasema wanakupenda pia!
 
Mkuu Regia;

I salute you in the name of mapambano!

You have Said it all. Ukisusa wenzio walaaaa. Maalimu Seif safari hii pia alishtuka bora tule wote!

With due respect. We will comply. Maxence upo?

Amandla mpiganaji wa Jinsia, Ubaguzi aina zote na Umaskini wa Ukweli

Respect!!!
 
Superman na wengineo.Ninawashukuru wote,Superman kwa kuanzisha thread hii na wote walionipendekeza katika hatua za awali mpaka hatua ya kunipigia kura.Nawashukuru sana.

Binafsi huwa ninapenda mashindano ya aina yeyote ile ili mradi tu yafuate taratibu na kanuni.Niliona na kufuatilia tangu mchakato ulipofikia hatua ya kupigiwa kura za kupata mshindi.Ofcoz niliona mapungufu kadhaa lakini by then nilikuwa nimeshachelewa lakini nitayaweka wazi baaaye kwaajili ya kusadia michakato kama hii kwa siku zijazo.Shindano lilikuwa dogo laikni limeleta changamoto kadhaa,linahuisha JF na hata chipukizi wengine wanapata morale,wawe wanaume au wanawake.Binafsi nilifurahi nilipopendekezwa and am still proud of it.

Nimesoma mawazo ya Gaijin kuhusiana na mtazamo wake kuhusu tuzo.Amependekeza mimi ndio nipewe tuzo ya shindano hili.Kwa kuwa aliyependekeza naye ni mshindi basi nami nikiwa kama mwanasiasa ninayeamini katika mashindano mbalimbali na kama mwanaharakati wa masuala ya jinsia na ulemavu,nilnayeamini maana halisi ya mfumo dume,Ninaipokea tuzo hii ya shilingi laki moja kwa mikono miwili na kwa heshima na taadhima.

Superman.Naomba zawadi hiyo umkabidhi Maxence kama mchango wangu kwa JF...please fikisha.

Nashukuru sana kuwa JF Woman of the year 2010.

Aluta continua

Mama,ur amazing!!!umenifurahisha sana kwa maneno yako mazuri.Hongera kwa ushindi
 
MImi nafikir man of the year imuendee RUTASHUBANYUMA...! Huyu jamaa nimemkubali sana kwa uwezo wake wa kupost ukilinganisha na muda alio ingia hapa jamvini...!
 
great thinkers!! Are these people really women?
You may end up calling a man jf woman of the year!!
Hope you understand what i mean.
Just remember that we have very few ppl who use their real names here.
hata mimi siamini gaijin ni mwenzangu loh nimejua leo
 
aiiii...kumbe Gaijin ni she....poor me..always consider her gender as He and not she kutokana na michango yake kuegemea mfumo dume...i was wrong....baada ya msiba jinsia za baadhi ya members zimejulikana..1. Malaria Sugu 2. Gaijin 3........
 
Hata Mimi nitashangaa,nimejiandaa kumuachian Taji.Mchakato utafanyika lini au ndio mpaka Disemba?

I wish ningejibu hii post hali uko hai... Sielewi nini hasa ungenijibu.
But la Msingi ni kua this post from you will be treasured by me Forever.... R.I.P Love.
 
aiiii...kumbe Gaijin ni she....poor me..always consider her gender as He and not she kutokana na michango yake kuegemea mfumo dume...i was wrong....baada ya msiba jinsia za baadhi ya members zimejulikana..1. Malaria Sugu 2. Gaijin 3........
Vinci, ni kweli msiba huu unatuungasha zaidi huku tukizidi kufahamiana zaidi.

Siku moja nikiwa mahali, nikajitanabaisha mimi ni member wa jf, jamaa mmoja mshabiki wa Chadema akanifuata na kuniambia kumbe wewe ndio Malaria Sugu!. Ilibidi nikubali ili yaishe, sasa leo niliposikia Malaria Sugu kumbe ni "she" sasa yule jamaa niliyemkubalia mimi ndio Malaria Sugu akijua Malaria Sugu ni She atagundua kumbe nilimuingiza chaka!.

Asante Regia Mtema kwa kutupa fursa ya kuwa karibu zaidi na kufahaniana zaidi!
RIP!.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom