Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,279
Gaijin;
Mimi na wewe hatuwezi kujua sababu ngoja aje hapa atatueleza. Labda ni vile unakata sana issue zaidi ya "He's"
Tuyaache hayo:
Sasa gaijini kuna Zawadi zenu. Kuna njia mbili za kupata TZS 50K yako. unaweza ukani-PM tukakubaliana jinsi ya kuchukua zawadi yako kisha unakuja ku-confirm hapa kuwa ualiipata. Wasije dhani nimechakachua.
Pili kama uanataka naweza kumpatia Maxence kisha ukachukua huko na kuja kufanya confirmation Jamvini kuwa umepata.
karibu Gaijin na Regia Mtema.
Shukuran kwako na kwa wale wote waliojitokeza hadi kufanikisha zowezi zima la upigaji kura.
Ningependa tuzo hiyo apewe Regia Mtema kwa sababu
Mimi siamini kwenye 'nafasi/upendeleo maalum' kwa wanawake. Iwe katika siasa au katika jamii. Naamini kuwa katika masuala yasiyohusisha maumbile ya mwanamke na mwanamme basi jinsia zote mbili zinatakiwa kutizamwa kwa jicho moja. Poll maalum kwa wanawake haionyeshi kutambua kwamba michango ya wanawake na wanaume ina thamani sawa kwenye jamvi hili.
Katika kupinga mfumo dume
Gaijin