Gaijin na Regia: JF Women of the Year 2010

Status
Not open for further replies.

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Mods: Naomba msiihamishe thread hii; nimepata tabu sana kuipata. Kumbukeni wana JF wana haki ya kujua matokeo ya kura zilizopigwa.

Katika Mchakato wa Kumtafuta JF Woman of the Year 2010 uliohusisha vigezo mbalimbali na hatimaye upigaji kura uliodumu wiki moja:

https://www.jamiiforums.com/celebri...of-the-year-2010-mchakato-wa-kuwapata-10.html

Tume ya Uchaguzi ya Jamiiforums JEC chini ya uenyekiti wangu ilipitia kwa makini vigezo; ,mchakato na kura zote zilizopigwa na kujiridhisha kwa kauli moja kama tume kuwa kwa mwaka huu Members wawili wa JF wamefungana na hivyo tunayo furaha kutangaza rasmi kuwa:

GAIJIN na REGIA MTEMA ni: JF WOMEN OF THE YEAR 2010. (WoY 2010)

Kwa kuwa nyie ni washindi inawapasa kuwa na maadili mema na tume haitasita kumnyang'anya ushindi yeyote atakayekwenda kinyume na maadili ya JF.

Sambamba na hilo mnaruhusiwa members wote kuwa address kwa titles zao yaani WoY ikifuatiwa na jina.

Pia sambamba na hilo zawadi ya laki moja iliyopokelewa kwa upande wa Wanawake mtagawana elfu 50 kila moja.

Kwa niaba ya wana JF wote tume inapenda kuwapa pongezi za dhati sana kwa ushindi wenu.

Kwa Mshindi wa "JF Man of the Year" tafadhali tembelea: https://www.jamiiforums.com/celebri...-nyani-ngabu-jf-men-of-the-year-2010-a-2.html

Salamu za pongezi ruksa.

Asanteni sana.
 
Ni matumaini ya tume kuwa next year 2011 wengi zaidi watajitokeza na kupendekezwa kugombea.
 
Hongera zao.....Btw, I have always 'pictured' Gaijin as 'he' and not 'she'.....poor me!
 
Hongera zao.....Btw, I have always 'pictured' Gaijin as 'he' and not 'she'.....poor me!

Mkuu; ndiyo mambo ya JF hayo.

Hata hivyo Gaijin ni wa jinsia ya kike. Na pia Avatar yake inashawishi hivyo.
 
Hongera zao.....Btw, I have always 'pictured' Gaijin as 'he' and not 'she'.....poor me!
aaaaaaaah, mkuu vp mbona anachangia ki-she zaidi au? Btw kila naposoma comments za G huwa natamani sana ku........
 
Mmh! Ngoja mwenywe atoke likizo aje kusoma hapa . . . .
Mbona ameshaisoma na ameni-PM tayari, kazi kwenu wakaanga sumu sie tunapeta tu, tunamalizia zetu mwaka kwa raha zetu.........Ngoja nisije kumaliza mambo yote mazuri, G mwenyewe akasusa bure.
 
Duh kisa cha kumpicture Gaijin kuwa ni 'he' ni kipi hasa?

And why "poor you"?

Gaijin;

Mimi na wewe hatuwezi kujua sababu ngoja aje hapa atatueleza. Labda ni vile unakata sana issue zaidi ya "He's"

Tuyaache hayo:

Sasa gaijini kuna Zawadi zenu. Kuna njia mbili za kupata TZS 50K yako. unaweza ukani-PM tukakubaliana jinsi ya kuchukua zawadi yako kisha unakuja ku-confirm hapa kuwa ualiipata. Wasije dhani nimechakachua.

Pili kama uanataka naweza kumpatia Maxence kisha ukachukua huko na kuja kufanya confirmation Jamvini kuwa umepata.

karibu Gaijin na Regia Mtema.
 
Mbona ameshaisoma na ameni-PM tayari, kazi kwenu wakaanga sumu sie tunapeta tu, tunamalizia zetu mwaka kwa raha zetu.........Ngoja nisije kumaliza mambo yote mazuri, G mwenyewe akasusa bure.

Mkuu; ni nini mnamalizia kwa raha zenu?

Gaijin asije kususa nini?

Kuwa makini kama kuna madudu, asije kupokwa ushindi na tume. LOL.
 
Duh kisa cha kumpicture Gaijin kuwa ni 'he' ni kipi hasa?

And why "poor you"?

Gaijin, heri ya mwaka mpya! Sina uhakika ni kwanini nilikuwa nikidhani wewe ni 'he'! Labda pengine ni hiyo pseudonym unayotumia kwangu mimi ina sound male zaidi. Inawezekana pia ni namna ya uchangiaji wako (kama Superman anavyo suggest!) katika mada mbalimbali!
 
Kheri ya mwaka mpya

Mkuu tuko pamoja hapajaharibika kitu. Japo sikujua kuwa kuna uchangiaji wa kike na wa kiume! :p

Back
Top Bottom