Gagulo hadharani

Maajabu haya jamani. Kweli maumbile ya wanawake yana nguvu ya pekee kwa wanaume. Yaani kazi zote zikasitishwa, kisa? Wanaume wanataka kuona sehenu zinazokaribia pale walipo-fyatukia into the world. Wanaume wanapovaa kata-K wanaitwa Masharubaro. Human rights zizingatiwe jamani
 
huu ni uonevu na unyanyasaji wa kijinsia. Mbona sie mibaba mizima inatembea vifua wazi na vijikaptula hatupigiwi kelele. na huko Iringa wazungu wapo na wanatembea hivyo kwanini wasifanyiwehivyo kama kweli ni haki

Halafu basi pia wawape kibano vijana wanaovaa mlegezo/kata ku-ndu (suggin' pants).
Wazungu na vimini nao pia muwape kibano.
Sio kumuumbua huyo mdada alafu mnaachia kata k-undu/mlegezo na vimini vya wazungu
 
Back
Top Bottom