Gado ameanza kufuata viongozi wa Bongo baada ya Kenya

141878.png

hapa cartoon kama hiyo sio hoja uhuru wa maoni upo!!!! amechora uhuru na wenzake amechoka..........maoni yake hayo hamna sheria kenya atakuwa amevunja labda kwa wenzetu tanzania.....

Gado-on-Moi.jpg
 
Mawasiliano ya WhatsApp ni encrypted baina ya watumiaji wawili. Kama watu wanakamatwa kwa "uchochezi, etc dhidi ya Magufuli:

Anatumia intelligence officers kuspy wananchi katika WhatsApp group.

Cha kusikitisha, atapigiwa makofi na wananchi.

I never regretted leaving Bongo.

Mkuu upo nchi gani?Oman?
weka fursa hapa wananchi wengine waje huko
hii nchi ishaharibika
 
Mkuu upo nchi gani?Oman?
weka fursa hapa wananchi wengine waje huko
hii nchi ishaharibika

Nipo Tokyo, Japan. Nimeshapazoea. Leo asubuhi tulikuwa na mtetemeko wa ardhi mkubwa kuliko kawaida (6.4) lakini maisha yanaendelea na hamna damage yoyote.

Isingekuwa issue ya demokrasia, ningeishi UAE au Oman. Huko pia ni nyumbani.

Boss, ni vigumu kubadilisha fikra za binadamu. CCM ni ile ile. Viongozi wamebadilisha nguo za Mao na kuvaa suti za Muiingereza kwa shingo upande.

Upinzani ni wale wale. Nch nyingi kiongozi wa upinzani lazima ajiuzulu kama akishindwa katika uchaguzi. Sisi sura ni zile zile. Hamna damu mpya na sitemegei watachukua uongozi miaka ya karibuni. Na hata wakija wepya, CCM inawakaba koo na kuiba kura ili waongoze wao tu.

Mimi nimefunga mikoba yangu na sijaangalia nyuma tena.

I lost hope.
 
Pole....Africa inakatisha tamaa

Japan fursa vipi?

UAE nilifikiri angalau kuna freedom kidogo kwa shuguli za kiuchumi?

Watanzania wako wengi Japan?
 
Pole....Africa inakatisha tamaa

Japan fursa vipi?

UAE nilifikiri angalau kuna freedom kidogo kwa shuguli za kiuchumi?

Watanzania wako wengi Japan?

UAE ni 100% economic freedom lakini 0% political freedom. I can't live in such societies... Anymore. 24 years of Nyerere was enough.

Japan haipendi wageni na wakija, wanarudi. Lugha ni ngumu.

Wanigeria na Waghana wanaendesha clubs, mabaunsa, prostitution). Waafrika wachache sana.

Lakini ukisoma hapa, ni rahisi kuanza maisha na hamna vizuizi vya kazi. Unapewa visa kirahisi, hasa ukiwa kijana na unaongea Kijapani. Unaanza maisha baada ya chuo. Hamna culture ya kuacha Kazi hapa au kuacha kazi . Ukiacha, hutapata professional jobs bali za kulipia chumba na chakula. Lazima ujipange.

Wapakistani wameshika kazi za kuuza magari na madawa ya kulevya.

Hapa wakimbizi ni wa Burma tu, huwa wanachukua si zaidi ya 10 kwa mwaka. Hawataki wageni bali wanajilazimisha, watoto hamna. Ni kazi tu.
 
Back
Top Bottom