Gado ameanza kufuata viongozi wa Bongo baada ya Kenya

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,749
48,347
Nimeona hii picha ya katuni/kibonzo nikacheka sana, hivi huyu Mtanzania Gado siku atarudi kwao Bongo lazima yatamkuta, yeye aendelee kuchora chora viongozi wa kwetu Kenya maana atavumiliwa, lakini kwa kuanza kufuata viongozi wa Bongo, sijui huko demokrasia iko vipi.


image-jpeg.388364
 
si uongo lakini, ukweli kabisa, yeye kama rafiki mkuu wa raila alionekana akitaka uhuru na raila wafanye jambo ambalo ye mwenyewe hajalifanya, eti rais na mpinzani wasiwe na uhasama wowote

MAG_1.jpg
uhuru_and_rao_hug_254.jpg
 
Mnatamani mkai zingire nyumba yake sio?
mkamshitaki kwa uchochezi?

Mawasiliano ya WhatsApp ni encrypted baina ya watumiaji wawili. Kama watu wanakamatwa kwa "uchochezi, etc dhidi ya Magufuli:

Anatumia intelligence officers kuspy wananchi katika WhatsApp group.

Cha kusikitisha, atapigiwa makofi na wananchi.

I never regretted leaving Bongo.
 
Back
Top Bottom