Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,206
- 42,067
Ilikuwa ni vigumu kusema kulikuwa kuna mgongano clouds.
Swala la Times Fm kuchukua watangazaji clouds si kosa kwani ni swala la biashara na kupanda dau tu!
Swala la Times Fm kuchukua watangazaji clouds si kosa kwani ni swala la biashara na kupanda dau tu!
Kwani hao Times wana ugomvi na Clouds hadi kuwachukulia wafanyakazi wake kwa kasi ya ajabu hivyo? Halafu huyu Gadna si alisema kuwa anapumzika ili aiimarishe Nyumbani? Kweli duniani wanafiki hawaishi amani! Yaani sikutegemea kabisa kuwa mtu mtaarabu kama Captain angeweza kufanya mambo ya kipwani kama haya.