Gaddafi's son joins Libyan protesters

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
'Gaddafi's son joins Libyan protesters'
Thu Feb 24, 2011 8:21PM

aghaie20110224201841903.jpg


The youngest son of the embattled ruler Muammar Gaddafi has joined the pro-democracy protesters in eastern Libya as the outpouring of rage against Gaddafi remains unabated, reports say.

Reports say Saif al-Arab, Gaddafi's youngest son, who was sent by his father to cooperate with Libyan security forces in the massive crackdown on pro-democracy protesters joined forces with the demonstrators on Thursday, while hinting that his father would commit suicide or flee to Latin America.

According to reports, Saif al-Arab had the backing of combat troops and had military equipment that were dispatched to the eastern parts of turmoil-hit Libya.

As many as 1,000 Libyans have so far been killed by the Gaddafi's forces, reports say.

A total of 130 Libyan soldiers have been executed for refusing to open fire on protesters.

Pro-democracy demonstrations inspired by the popular revolutions that deposed decades-long rulers in neighboring Egypt and Tunisia, have engulfed Libya since Feb 15, with thousands of people taking to the streets of the eastern city of Benghazi and calling for the ouster of the 68-year-old Gaddafi.

Gaddafi, who came to power 41 years ago in a bloodless military coup, delivered a televised address on Tuesday in which he vowed to fight on to his "last drop of blood" and called on his supporters to take to the streets to confront the protesters.
1576352068-student.9.jpg


Source Press TV
 
That now means Gadaffi is a COCKROACH and a RAT he is going to his hole soon! He had recently adressed his nation and called PROTESTERS cockroaches and rats! if his son is a cockroach he is also a cockroach! The 41 years Game is over!
 
jamani, kazi kweli. atatoka tu, maji shingoni sasa. althoughsielewi kwanini hawamtaki G wakati nasikia uko kila kitu bure. sasa wanataka nini?
 
Hali ikishafikia hapa mtu mzima lazima anyooshe mikono juu...ni kweli huyu bwana kawafanyia menyi walibya...lakini yatosha sasa kukaa pembeni na kuachia mwingine!
 
hapo patachimbika..
Inasemekana huyo mtoto wake huwa ni mtukutu sana na amewahi kufanya vurugu
kibao sana tu nchi za ulaya
 
Tamaa, tamaa alitaka kuwa kiongozi wa Afrika ndoto za mchana, kama M7 anavyotaka kuwa wa EAfrika. Jamaa anawalaghai eti anawapa dola 800 kila familia kukabiliana na upandaji wa bei ya chakula. Pesa ipo Libya bana twendeni.
 
Alikuwa nao wengi, mwingine huyu hapa!

Libya: Col Gaddafi's son 'in hiding on Venezuelan island'


One of the sons of Muammar Gaddafi, the Libyan leader, is in hiding on an island off the coast of Venezuela, a politician in the South American country has claimed.
Margarita-Island_1834579c.jpg

Margarita Island is well known to Col. Gaddafi Photo: ALAMY


By Robin Yapp, Sao Paulo 12:56AM GMT 25 Feb 2011

Orlando Fernandez Medina said sources within the Venezuelan government had told him that one of Col. Gaddafi's sons arrived on the island of Margarita around two days ago.

The claim, if shown to be true, could explain why William Hague, the Foreign Secretary, said on Monday that he had reason to believe Col. Gaddafi himself was heading to Venezuela as protests against his regime threatened to topple him from power.

"The caller to the Venezuelan Foreign Ministry was Gaddafi's son and not Gaddafi," said Mr Medina, a former governor of the state of Lara in northwestern Venezuela.

He challenged the government of Hugo Chavez, who has enjoyed warm relations with Col. Gaddafi and has a football stadium in Libya named after him, to deny his allegation.

But on Thursday night the website of the Venezuelan government continue to prominently show a statement highlighting the "irresponsible comments" of Mr Hague without addressing the whereabouts of Col. Gaddafi's sons.

The Libyan leader has seven sons including Saif al-Islam, who has a PhD from the London School of Economics and recently appeared on television to warn of a possible civil war, and Mutassim, who is Libya's National Security Adviser.
Mr Medina said it had not been disclosed to him which of the dictator's sons had flown into exile.

A columnist in one Venezuelan newspaper, El Universal, claimed that there was intelligence to suggest that one of Gaddafi's wives and four of her daughters were also now on Margarita Island.

Margarita Island is well known to Col. Gaddafi as he attended a summit for South American and African leaders there in 2009, even going on a surprise shopping trip with his entourage and posing for photographs with shop staff.

Source:
 
8.Saif al-Arab
Mtoto wa nane wa Gadhafi anayeishi Ujerumani katika mji wa Munich.

Inasemekana anafanya biashara sizizohalali na anamatumizi makubwa katika kujimwaga yaani “party”.
Serikali ya Uerumani imeanza kumnyooshea kidole dogo huyu na ni jambo la muda tu kila kitu serikali itachukua hatua kwa kufuatia mwenendo hali wa mzozo unaoendelea Libya kwa baba yake.

JE ALISHARUDI KWA BABA YAKE, MAANA HUYU ALIKUWA ANAISHI UJERUMANI.

AU UNAMZUNGUMZIA SAIF AL ISLAM?

Mtoto wa pili wa Dhadafi - umri miaka 38, and Phd katika masuala ya Uchumi.

Kwa kutumia Charity organization ya baba yake, alitoa misaada mingi sana kipindi kile haiti ilipoharibiwa na tetemeko la ardhi.
Walibya wengi wanadhani ni mtu mwadilifu anayefaa hata kuiongoza Libya baada ya baba yake. Hata hivyo, ukweli ni kwamba ni fisadi mdogo anayemiliki hisa nyingi ktk makampuni ya mafuta yaliyowekeza Libya. Pia anapenda wanawake, na katika tukio moja, inasadikika kuwa aliwahi kumlipa Mariah Carey dola za kimarekani millioni moja ili kuonyesha tamasha la muziki.
Hivi karibuni, wakati waandamanaji wakijitokeza kwa wingi kumpinga baba yake, alitokea kwenye televisheni ya taifa na kuwaita waandamanaji walevi, watumia dawa za kulevya na magaidi.
Mtoto wa Gadhafi mwanajeshi ni Khamis
6.Khamis
Ni mtoto wa sita wa kiume wa Gadhafi ambaye hajulikani sana.
Ni kamanda wa kivita anayeheshimika sana katika vikosi maalum na mtetezi mkubwa wa sera za baba yake.
Amepata mafunzo ya kijeshi Russia na ana PhD katika “millitary sciences” aliyopipata mwaka 2007.
Anaongoza kikosi cha 32 Brigedi ambayo inajulikana kama ni mojawapo ya vikosi madhubuti sana chenye mafunzo ya hali ya juu na na vifaa vya kisasa kabisa katika jeshi la Libya. Kikosi hiki kinaaminika kuwa ndicho kimeshiriki sana katika kuwashambulia waandamanaji wanaoipinga serikali ya Bwana Gadhafi.

 
8.Saif al-Arab
Mtoto wa nane wa Gadhafi anayeishi Ujerumani katika mji wa Munich.

Inasemekana anafanya biashara sizizohalali na anamatumizi makubwa katika kujimwaga yaani “party”.
Serikali ya Uerumani imeanza kumnyooshea kidole dogo huyu na ni jambo la muda tu kila kitu serikali itachukua hatua kwa kufuatia mwenendo hali wa mzozo unaoendelea Libya kwa baba yake.
Kutokana na habari za Press TV ni Saif al-Arab. Linki ya chanzo cha habari:
 
Back
Top Bottom