Gaddafi makes bizarre TV appearance!

Duu! Jamaa mkatili huyu eti anasema atawaua kwa kuwafagia nyumba hadi nyumba waandamanaji wooote
watakaokaidi kustopisha maandamano. anamaanisha atawaua kama kuku
 
huyo siku zake tayari zimeshafika
hata Mubaraka alisema mengi tu lakini baada ya siku kila kitu kilikuwa wazi pwwwwwwwwwwwwwaaaaaaaa
 
Kwani wanaomtaka aondoke si wananchi hao hao anawalazimisha kuwaongoza? Anataka afe akiwa Raisi? Ina maana Libya hakuna anayeweza kuyanlinda mafuta zaidi yake? Siku akifa inakuwaje? Asitake kuwaona watu amzuzu, baadhi ya viongozi wachache huwa wanaona bila wao hakuna uongozi!
 
libya television inaonyesha crowds pouring in the streets in support of Gaddafi-naona sooner or later kutakuwa na bloodshed
 
alileta askari wake kumsaidia Idi Amin sababu Nyerere alikuwa na hidden agenda ya kumrudisha Obote

Mbona hakuwapeleka Mozambique kuwaondoa wareno!!??? kama kweli alikuwa na mapenzi na afrika!
Yaani mpaka leo hujajua nikwanini alimsaidia Idd Amini au hutaki tu!?
Gaddaf! umesahau alisema nini alipofika Uganada miaka ya hivi karibuni? au hutaki tu...
 
Duu! Jamaa mkatili huyu eti anasema atawaua kwa kuwafagia nyumba hadi nyumba waandamanaji wooote
watakaokaidi kustopisha maandamano. anamaanisha atawaua kama kuku

Hana lolote huyo. Hata hao anaowategemea kutii amri zake hawatatii amri za kipumbavu na kihayawani kama hizo. Na naombea iwe hivyo. Wamtenge na abakie mwenye na wanae
 
Hana uzoefu wa kuishi kama raia wa kawaida asiyetoa amri na ndio maana hataki kabisa kuondoka Ikulu.
 
Tunasubiri responce ya Obama-maana gaddafi ameilaumu sana america na amatoa mifano ya strong arm tactics za america dhidi ya wananchi wa america
 
Ni mtu mzuri amewajali watu wake na amewaendeleza na ameendeleza uchumi sana.

Sisapoti kuondolewa kwake madarakani kwa njia hii kama majambazi walivyoondolewa.

Bora tuwalipe hao walibya waje kutusaidia kuondoa kikwete na majambazi wenzake. Mbona serikali hukodisha majeshi ya nje?
 
Mbona hakuwapeleka Mozambique kuwaondoa wareno!!??? kama kweli alikuwa na mapenzi na afrika!
Yaani mpaka leo hujajua nikwanini alimsaidia Idd Amini au hutaki tu!?
Gaddaf! umesahau alisema nini alipofika Uganada miaka ya hivi karibuni? au hutaki tu...

USIJALI very soon history ya nchi yetu itaandikwa upya-yote usiyoyajua utayajua
 
na huyo jamaa anaonekana hana jinsi maana hata waarabu wenzake wote wanampinga sana baada ya kuamlisha mauaji,media zote zinamlaumu, westerners ndio hawakaliki kabisa..
Duu! Jamaa mkatili huyu eti anasema atawaua kwa kuwafagia nyumba hadi nyumba waandamanaji wooote
watakaokaidi kustopisha maandamano. anamaanisha atawaua kama kuku
 
huyo siku zake tayari zimeshafika
hata Mubaraka alisema mengi tu lakini baada ya siku kila kitu kilikuwa wazi pwwwwwwwwwwwwwaaaaaaaa
Ni kweli mkuu, Hata mubaraki aliongea mengi sana lakini end of the day alishindwa vibaya sana na sasa imebaki history tu
 
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa saa tatu asubuhi ya tarehe 22 kwa saa za mashariki ya Marekani litafanya majadiliano kuhusu hali ya hivi sasa ya Libya, kutokana na ombi la naibu mjumbe wa Libya katika Umoja wa Mataifa Bw. Ibrahim Dabbshi.
Hali nchini Libya tarehe 21 imezidi kuwa mbaya, maandamano yanayoitikisa nchi nzima yameenea mjini Tripoli, na kiongozi wa Libya Bw. Moamer Gadhafi anakabiliana na shinikizo kubwa. Habari nyingine zinasema, hali ya wasiwasi nchini Libya imesababisha kupanda kwa bei ya mafuta na dhahabu.
 
USIJALI very soon history ya nchi yetu itaandikwa upya-yote usiyoyajua utayajua


Ila hiyo historia inaweza kujaa mashaka mno itakuwa kama tumesubiri wanaojua mambo ya zamani kama Kawawa, Nyerere n.k wamekufa then tukamtafuta mzushi mmoja akajifanya yeye ndiyo anajua sana mambo ya kipindi kile, itakuwa vizuri kama watafuatwa watu sahihi kuulizwa kuhusu historia yetu na siyo watu wenye visasi navinyongo na waasisi wa taifa letu....
tafakari...
 
Huyu jamaa kama anapendwa hivyo kwa nini hakuitoa hiyo hotuba hadharani?

anapendwa na nani bwana? huo ni unafiki tu, jeshi lake karibu nusu limeshamtenga, mabalozi wengi tu akiwemo wa UN wameshajihuzulu, Waziri wa Sheria ameshajihuzulu na viongozi wengine mbali mbali.
watakuwepo baadhi ya wannchi wanaomsapoti lakini hawatafikia nguvu ya umma inayompinga...
labda kama atahalallisha hayo mauaji ya halaiki kama anavyosema
 
BEIJING - China said Tuesday that it was very concerned about the current situation in Libya, vowing to protect its nationals and firms in the country.
"China hopes the country can restore social stability and political order as soon as possible," said Chinese Foreign Ministry Spokesman Ma Zhaoxu at a regular news briefing.
Since the unrest erupted in Libya on Feb 16, people have been attacked and there has been vandalism, looting and arson, said Ma, adding that Chinese firms had been attacked and Chinese nationals injured.
Latest reports said a construction site run by Huafeng Construction Co, Ltd. from China's Zhejiang Province was looted by a group of armed gangsters Sunday afternoon in the eastern city of Agedabia, and nearly 1,000 Chinese workers there were forced from their on site living quarters and had become homeless.
"The Chinese government attaches great importance to the situation and has instructed the Chinese Embassy in Libya to take every necessary measure to ensure the safety of the Chinese nationals and organizations in Libya," said Ma.
The spokesman said the Foreign Ministry had launched the emergency mechanism and lodged emergency representations with the Libyan side demanding an immediate probe into the attacks and punishment against the perpetrators.
Ma said the Chinese Embassy in Libya had established contact with all Chinese firms in Libya and was working with relevant departments at home to safeguard national interests and protect the safety of Chinese nationals and property.
On Monday, China's Ministry of Commerce urged Chinese businesses in Libya to pay increased attention to their security and suggested Chinese businessmen planning to visit Libya postpone their plans for the time being.
 
Ni mtu mzuri amewajali watu wake na amewaendeleza na ameendeleza uchumi sana.

Sisapoti kuondolewa kwake madarakani kwa njia hii kama majambazi walivyoondolewa.

Bora tuwalipe hao walibya waje kutusaidia kuondoa kikwete na majambazi wenzake. Mbona serikali hukodisha majeshi ya nje?
Mkuu binafsi huwa nakuheshimu sana kupitia post zako na coment zako kwenye udadabuzi wa topic mbalimbali.
Lakini leo umeniangusha sana! yaani unamtetea mtu ambae dunia mzima anajulikana kuwa ni dictator wa kutupwa?
Hivi ujui viongozi wengi wa kiafrica huwa wanachukulia mfano wa utawala wa kukaa madarakani kwa mda mrefu toka
kwa Gadaffi? unaniangusha mkurugenzi wangu
 
CAIRO – Libyan leader Moammar Gadhafi vowed to fight on to his "last drop of blood" and roared at his supporters to take to the streets against protesters demanding his ouster, shouting and pounding his fist in a furious speech Tuesday after two nights of a bloody crackdown in the capital trying to crush the uprising that has fragmented his regime.
It was the second time Gadhafi has appeared during the week of upheaval across his country. Swathed in brown robes and a turban, he spoke on state TV from behind a podium in the entrance of his bombed-out Tripoli residence hit by U.S. airstrikes in the 1980s and left unrepaired as a monument of defiance.
At times the camera panned back to show a towering monument of a gold-colored fist crushing an American fighter jet, outside the building. But at the same time, the view gave a surreal image of the Libyan leader, shouting and waving his arms wildly all alone in a broken-down lobby with no audience, surrounded by broken tiles dangling from the ceiling, shattered conrete pillars and bare plumbing pipes.
"Libya wants glory, Libya wants to be at the pinnacle, at the pinnacle of the world," he proclaimed, pounding his fist on the podium. "I am a fighter, a revolutionary from tents ... I will die as a martyr at the end," he said, vowing to fight "to my last drop of blood."
Gadhafi depicted the protesters as misguided youths, who had been given drugs and money by a "small, sick group" to attack police and government buildings. He called on supporters to take to the streets immediately to reimpose control and to attack the protest leaders.
"You men and women who love Gadhafi ... get out of your homes and fill the streets," he said. "Leave your homes and attack them in their lairs. They are taking your children and getting them drunk and sending them to death. For what? To destroy Libya, burn Libya."
"The police cordons will be lifted, go out and fight them," he said, urging youth to form local committees across the country "for the defense of the revolution and the defense of Gadhafi," even asking them to wear green armbands.
"Let us show them what the popular revolution is like," he said. "Go out from your homes starting now."
 
"Forward, forward, forward!" he barked at the speech's conclusion, pumping both fists in the air as he stormed away from the podium. He was kissed by about a dozen supporters, some in security force uniforms. Then he climbed into a golf cart-like vehicle and puttered away.
His call could signal a sharp escalation of bloodshed in the Libyan capital of 2 million people after two nights of clashes. Streets in several neighborhoods were littered with the bodies of slain protesters Tuesday morning after a fierce crackdown through the night, as pro-Gadhafi militiamen shot on sight anyone found outdoors to crush protests.
Streets in Tripoli were largely empty during the day Tuesday, except for residents venturing out to stock up on bread and other basics, wary of attacks by militiamen, said one resident. A helicopter was heard buzzing over downtown.
But he said protesters were gearing up to rally again after nightfall, likely to be confronted again by the militias. "Everyone intends for tonight to be the decisive night."
 
Back
Top Bottom