Gaddafi Calls for Holy War against Switzerland

huyu jamaa msimseme sana jamani kwani viongozi wetu Bongo watoto wao wakifanya makosa na kupelekwa polisi inakuwaje?T.I.D aliwekwa ndani mwaka kwa kumpiga mtoto mmoja wa kigogo na ashtray...Mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu unauma...
 
Lakini nchi za kiarabu ndio zao hizo hawakawii kujishuashua hana lolote huyu Gadafi anakaa madarakani kama mfalme hana tofauti na Mugabe uzuri kwake wana mafuta otherwise ni another dictactor.
 
Nadhani ni upungufu wa kuelewa neno #JIHADI# wengi wakilisikia hawafikirii vingine zaidi ya vita, Jihadi ina maana mengi

Na jihadi kwa maana ya holy war, inasheria zake na sio kila mtu ataitisha jihadi, ni lazima kwanza itolewe fatwa ambayo Gadafi hana utaalam huo wala sifa ya kutoa fatwa

utaalamu gani unatakiwa? na kama mtu asiye na utaalamu akiitoa adhabu inakuwepo?
 
Back
Top Bottom