Likwanda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 3,910
- 1,131
NI SAWA NA BAJETI YA TANZANIA KWA MIAKA 12Waandishi WetuKIONGOZI wa Libya aliyeuawa juzi na wapiganaji wa Serikali ya Mpito (NTC), anadaiwa kuacha utajiri wa Sh 139 trioni kiasi ambacho ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa miaka 12. Habari zilizopatikana jana zimeeleza kuwa fedha hizo ni zile zinazofahamika, alizoweka kwenye benki za nchi kadhaa duniani, huenda alikuwa na hazina zaidi mbali na hiyo.source: GAzeti la mwananchi la leo Jumpili
Mkuu, Huo ni utajiri wa Libya nchi za nje au ni utajiri wa Gaddafi? Maana Serikali ya Libya Ilikuwa imewekeza ktk nchi mbalimbali haswa hapa Africa na hizo investment zilizuiliwa mara tu vita ilipoanza na ilitangazwa kuwa ni mali za Libya sio Gaddafi au hii ni habari mpya?