Gadafi utavuna ulichopanda; na Mungu alie hai hatokuacha madarakani ndani ya 3months

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Sio kama namchukia napenda
niwaambien ukweli fanya ujinga wote usimdhihaki roho mtakatifu,na MUNGU
huyu bwana allienda kwa museveni kufungua misikiti aliotoa kwa hela yake ..alipopewa mike alidai ukristo ni dini ya washenzi, kwanza akuna ukristo duniani

kwa mnaokumbuka mnakumbuka uganda wakristo waliandamana sana na kutaka kuleta fujo..sasa sie tuliokuwa tanzania na kwingineko tuliona wanapoteza muda vita vyetu si juu y damu na nyama ..tukaamua kupiga majeshi,,akika tumeomba sana huyu bwana kabla ya kuondoka dunian MUNGU amjulishe yeye ni nani

na kama MUNGU aishivyo hatochukua miezi kadhaa madarakani akiwa hai ama amekufa ...nasema hivi ikiwa ni onyo kwa walio na akili kama zake yawezekana tunao gadafi wengi sana dunian najua majeshi ya MUNGU ayatamwacha anaemdhihaki akika damu za walibya zinamwagika juu yake lakini utukufu wa MUNGU uonekane kwa kuondolewa ma darakani na hata kufungwa kabisa

huyu mtu hana adabu kabisa kabisa..vijisenti vyake vilifanya hata museven kukaa kimya kabisa na ushenzi wa maraisi wa africa na njaa zao wao shida zao ni zile pesa leo wako wapi wametaifisha kila kitu...mnaokumbuka kule rwanda aliweka kampuni ya simu ..mkuu wa kazi kaimilikisha kwa wanyarwanda na hii ni mfano tu waha zile bank 3 pale kigali kwishne....

Kabla ya kuongea omben MUNGU awajalie kuona ya kesho

mbarikiwe
 
HUYU ATANG'OOKA NAMIM NAKUMBUKA SANA VILE ALILI TUKANA JINA LA MUNGU NAKUTAKA KULETA MAMBO YAKUWA MUNGU,AKIFIKA HATUWA YAKUJI ITA MFALME WA WAFALME. He Must die as he kil other people.
 
Sio kama namchukia napenda
niwaambien ukweli fanya ujinga wote usimdhihaki roho mtakatifu,na mungu
huyu bwana allienda kwa museveni kufungua misikiti aliotoa kwa hela yake ..alipopewa mike alidai ukristo ni dini ya washenzi, kwanza akuna ukristo duniani

kwa mnaokumbuka mnakumbuka uganda wakristo waliandamana sana na kutaka kuleta fujo..sasa sie tuliokuwa tanzania na kwingineko tuliona wanapoteza muda vita vyetu si juu y damu na nyama ..tukaamua kupiga majeshi,,akika tumeomba sana huyu bwana kabla ya kuondoka dunian mungu amjulishe yeye ni nani

na kama mungu aishivyo hatochukua miezi kadhaa madarakani akiwa hai ama amekufa ...nasema hivi ikiwa ni onyo kwa walio na akili kama zake yawezekana tunao gadafi wengi sana dunian najua majeshi ya mungu ayatamwacha anaemdhihaki akika damu za walibya zinamwagika juu yake lakini utukufu wa mungu uonekane kwa kuondolewa ma darakani na hata kufungwa kabisa

huyu mtu hana adabu kabisa kabisa..vijisenti vyake vilifanya hata museven kukaa kimya kabisa na ushenzi wa maraisi wa africa na njaa zao wao shida zao ni zile pesa leo wako wapi wametaifisha kila kitu...mnaokumbuka kule rwanda aliweka kampuni ya simu ..mkuu wa kazi kaimilikisha kwa wanyarwanda na hii ni mfano tu waha zile bank 3 pale kigali kwishne....

Kabla ya kuongea omben mungu awajalie kuona ya kesho

mbarikiwe

Kama unamzungumzia Mungu aliye juu plz use capital letters! Tutamtofautishaje Mungu aliye juu na mungu wa dunia kama unaandika in that way? Mbona jina lako watumia capital letters? Sorry kama nitakukwaza ila nina confidence na ninachokisema!
 
Wacheni ujinga nyie kwani nani kawambia kua ukristo ni dini ya kweli? Nani kawambia kua mungu wanaemuabudu wakristo, yesu kua ni mungu wa kweli? Leteni dalili ili tuwaone basi.

Yaliyotokea libya na sawa na yaliyotokea misri na tunisia hakuna wakristo kiundani kule ni wananchi tu bila kujali itikadi zao. Unataka tuamini kua vita ya libya ni tafauti?
 
vita vyetu si juu ya damu na nyama (Pdidy umenena kitu cha busara saaana nakupa THANKS tena, ndo maana sisi hatuna mihadhara ya kashfa kwa dini nyingine sababu hatudili na damu na nyama tunadili na ROHO (spirit) zaidi.
 
Akafie mbali GADAFI waraabu wenzake wapo wapi wamsaidie,anasiku chache za kufa alizidi kuukafu Ukristo
 
nyıe c ndo mnalılıa freedom of expressıon?....me nadhanı alıkuwa antumıa uhuru wake wa kuongea unachotaka
 
hahah i like this fanyeni hvi muombeni asife bali aishi ili tesekeke kwaza ndio afe kwa kulikubali jina la bwana kwamba ndiye mfalme
 
Sio kama namchukia napenda
niwaambien ukweli fanya ujinga wote usimdhihaki roho mtakatifu,na mungu
huyu bwana allienda kwa museveni kufungua misikiti aliotoa kwa hela yake ..alipopewa mike alidai ukristo ni dini ya washenzi, kwanza akuna ukristo duniani

kwa mnaokumbuka mnakumbuka uganda wakristo waliandamana sana na kutaka kuleta fujo..sasa sie tuliokuwa tanzania na kwingineko tuliona wanapoteza muda vita vyetu si juu y damu na nyama ..tukaamua kupiga majeshi,,akika tumeomba sana huyu bwana kabla ya kuondoka dunian mungu amjulishe yeye ni nani

na kama mungu aishivyo hatochukua miezi kadhaa madarakani akiwa hai ama amekufa ...nasema hivi ikiwa ni onyo kwa walio na akili kama zake yawezekana tunao gadafi wengi sana dunian najua majeshi ya mungu ayatamwacha anaemdhihaki akika damu za walibya zinamwagika juu yake lakini utukufu wa mungu uonekane kwa kuondolewa ma darakani na hata kufungwa kabisa

huyu mtu hana adabu kabisa kabisa..vijisenti vyake vilifanya hata museven kukaa kimya kabisa na ushenzi wa maraisi wa africa na njaa zao wao shida zao ni zile pesa leo wako wapi wametaifisha kila kitu...mnaokumbuka kule rwanda aliweka kampuni ya simu ..mkuu wa kazi kaimilikisha kwa wanyarwanda na hii ni mfano tu waha zile bank 3 pale kigali kwishne....

Kabla ya kuongea omben mungu awajalie kuona ya kesho

mbarikiwe

Haa Haa Haa,, Acha hadithi za Abunuasi,

Eti mapinduzi ya serekali ya Libya yametokea kwa vile gadafi kapinga ukristo, usituvunje mbavu bwana.

Wanainchi wa Libya wenyewe wametaka mabadiliko kama vile wanainchi wa inchi zingine jirani ya Libya.

kama kweli mpaka sasa bado haujajua dini ipi ya haki, huko Akhera ndio utaenda kujua (Dini iliyotoka kwa Mungu ni ipi)

Shukran.
 
Tuko pamoja ameutukana sana ukristo hdharani wako wapi kina GADAFI NI MSAIDIZI WA SHETANI unabisha google tafuta hapa SALMAN RUSHDIE SATANIC VERSES
 
HUYU ATANG'OOKA NAMIM NAKUMBUKA SANA VILE ALILI TUKANA JINA LA MUNGU NAKUTAKA KULETA MAMBO YAKUWA MUNGU,AKIFIKA HATUWA YAKUJI ITA MFALME WA WAFALME. He Must die as he kil other people.

Hata mimi sikupendezewa alipo jiita MFALME WA WAFALME,

MFALME WA WAFALME NI MWENYEZI MUNGU PEKEE.
 
Tuko pamoja ameutukana sana ukristo hdharani wako wapi kina GADAFI NI MSAIDIZI WA SHETANI unabisha google tafuta hapa SALMAN RUSHDIE SATANIC VERSES

Je na Hussain Mubaarak aliutukana ukristo ?

Acheni kujiliwaza kwa kutumia Baatil.
 
Akafie mbali GADAFI waraabu wenzake wapo wapi wamsaidie,anasiku chache za kufa alizidi kuukafu Ukristo

kabla ya kufa lazima aokoke huyu nakuhakkishia
 
Sio kama namchukia napenda
niwaambien ukweli fanya ujinga wote usimdhihaki roho mtakatifu,na mungu
huyu bwana allienda kwa museveni kufungua misikiti aliotoa kwa hela yake ..alipopewa mike alidai ukristo ni dini ya washenzi, kwanza akuna ukristo duniani

kwa mnaokumbuka mnakumbuka uganda wakristo waliandamana sana na kutaka kuleta fujo..sasa sie tuliokuwa tanzania na kwingineko tuliona wanapoteza muda vita vyetu si juu y damu na nyama ..tukaamua kupiga majeshi,

upupu tu..!
 
vita vyetu si juu y damu na nyama ..MUNGU alie hai akaanze na wewe kukujulisha yeye ni nani!!nakupa 3months utakuja hapa na GADAFI KUOMBA MUOKOKE NA KUKUBALI KUACHA UOVU WENU
 
hahah i like this fanyeni hvi muombeni asife bali aishi ili tesekeke kwaza ndio afe kwa kulikubali jina la bwana kwamba ndiye mfalme

Kila mtu atakufa, kwani wewe utaishi milele ?

Bora kufa kishujaa kuliko kilofa.
 
Back
Top Bottom