Gadaffi slaps his aide

Wewe unakiburi zaidi na hamna ila ubaguzi wenu wa rangi.Mbona na huku wamejaa watu kama wewe hakuna mtu anawabughi? Si na wewe njoo uwachukue basi!
Huwezi kutukana watu halafu utegemee wakunyamazieni tu!
Jifunze kuheshimu watu na wewe utaheshimiwa! Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!

Hao waafrika walioko umangani mbona hawako kwenye tabaka la juu kama wamanga walioko Afrika? Waafrika wangapi ni wafanya biashara kubwa umangani? Waafrika wangapi wana utajiri wa Bakhressa umangani? Waafrika wangapi wanaowana na wamanga? Waafrika wangapi wamepewa madaraka umangani? Na kama waafrika hamuwabugudhi mbona mnachinja waafrika huko Darfur? Nipe majibu.
 
Eee kiumbe weye uliyejaaliwa matusi na kudharau binadamu wengine. Mimi sijakwita Bantu au Nigger na sintakwita hivyo.
Sisi hatuna tabia ya kubagua watu bimaana dini yangu hainiruhusu.Bilal alikuwa ni Muadhin wa Kwanza wa Kiislam!. You have to accept that some of you are worse OR = to KABURU then in apatheid South Africa!
Sitajumlisha watu wote maana sio haki kama mfanyavyo baadhi yenu huko ya kutukana Waarabu kwa ajili ya mtu mmoja aitwaye Gadafi. Inabidi ujifunze kuwa mafanikio ni juhudi za mtu. Wahindi walikwenda Uingereza na wakawa Mamilionea. Nani aliwapandisha huko? Badala ya mtu kupinga mtungi au kupoteza muda kutukana bora fanya kazi utapata manafanikio!
Nakushauri soma habari ujue tatizo la Darfur kabla hujaamua naona unasoma sana habari za Western. By the way Msuluhishi ni Qatar- nchi ya kiarabu!
 
Duuuh kweli JF sasa hivi imeingiliwa na utoto ....sasa hapa umanga na uafrika vinatoka wapiii???wakati issue ni Gadaffi kumchapa kibao msaidizi wake.Tuache ubaguzi na tujenge hoja wandugu!!!!!
 
Eee kiumbe weye uliyejaaliwa matusi na kudharau binadamu wengine. Mimi sijakwita Bantu au Nigger na sintakwita hivyo.
Sisi hatuna tabia ya kubagua watu bimaana dini yangu hainiruhusu.Bilal alikuwa ni Muadhin wa Kwanza wa Kiislam!. You have to accept that some of you are worse OR = to KABURU then in apatheid South Africa!
Sitajumlisha watu wote maana sio haki kama mfanyavyo baadhi yenu huko ya kutukana Waarabu kwa ajili ya mtu mmoja aitwaye Gadafi. Inabidi ujifunze kuwa mafanikio ni juhudi za mtu. Wahindi walikwenda Uingereza na wakawa Mamilionea. Nani aliwapandisha huko? Badala ya mtu kupinga mtungi au kupoteza muda kutukana bora fanya kazi utapata manafanikio!
Nakushauri soma habari ujue tatizo la Darfur kabla hujaamua naona unasoma sana habari za Western. By the way Msuluhishi ni Qatar- nchi ya kiarabu!

Wewe niite hata abeed au abdi ukitaka mimi hainisumbui. Sasa mbona waafrika waliopo ulaya na marekani wana maendeleo iweje waafrika walioko umangani wawe tabaka la chini? Kama sababu ingekuwa ni mitungi na kukosa juhudi basi hata waafrika walioko ulaya wangekuwa tabaka la chini. Na hiyo Qatar unayoongelea mbona ilingojea mpaka nchi za magharibi zipige kelele ndiyo waingilie? Au ni kujisafisha tuu huko maana wamanga wamepakwa matope na genocide ya Darfur. Maswali yangu mengine umeyakwepa. Ngoja niyarudie, waafrika wangapi wanaowana na wamanga? Waafrika wangapi wamepewa madaraka umangani?
 
Sisi waTz kwetu bora ni kuwarithisha wanetu politiking, walibya wao wamechagua kuwarithisha wana wao uchumi uliokuwa converted from mafuta. Nina uhakika kwa trend tunayoenda nayo tutawarithisha vitukuu vyetu politix tu za akina vizazi vya misukule.

Yaani Mkuu umeongea nukta tupu hapa...!
 
Wewe niite hata abeed au abdi ukitaka mimi hainisumbui. Sasa mbona waafrika waliopo ulaya na marekani wana maendeleo iweje waafrika walioko umangani wawe tabaka la chini? Kama sababu ingekuwa ni mitungi na kukosa juhudi basi hata waafrika walioko ulaya wangekuwa tabaka la chini. Na hiyo Qatar unayoongelea mbona ilingojea mpaka nchi za magharibi zipige kelele ndiyo waingilie? Au ni kujisafisha tuu huko maana wamanga wamepakwa matope na genocide ya Darfur. Maswali yangu mengine umeyakwepa. Ngoja niyarudie, waafrika wangapi wanaowana na wamanga? Waafrika wangapi wamepewa madaraka umangani?

Jibu:

- Sawa Lakiini pia na nchi za Africa zlikuwa wapi? (Maghabribi wanapiga kelele when it suits them. They think there is Oil in Darfur). Na genocide ya Zanzibar haimo kwenye historia yenu kwa nini? Wale watoto na wanawake na wazee ilitumika haki gani kwao kuuwawa?

- Kuoa ni hiari ya mtu. Hakuna sheria inayokataza kuoana na wengi wanaoana. Sioni logic yako yakukupa haki kutukana taifa la mamilioni ya Waarabu ila akili finyu. Ubaguzi haata kwenu unapindukia Mnawaita watu hao wanaoowana "Chotara" na hamuwathamini. Mpaka leo hamjachangua hata mtu yoyote yule mwenye asili ya Kiarabu na Kiafrica kuchukua cheo chochote. Nipe wewe list ni Waarabu wangapi ambao mmoja ya Mzazi wao ni Mwaafrika wako kwenu serikalini??

-Kuwa tajiri au maskini haina maana ya logic yoyote. Huko uliko Waarabu wote ni Tajiri?

Come on.
 
Sisi waafrika weusi tunachuki za kijinga sana dhidhi ya Waarabu. Na hizi chuki zimepandikizwa kwenye vichwa vyetu na wazungu katika njama zao za 'divide and rule' au fitinisha utawale. Waafrika weusi na waarabu wameishi bega kwa bega karne nyingi katika bara hili la Africa na wameshirikiana kwa mambo mengi sana. Huyu Gadafi mnaye msanifu ni mwafrika halisi ambaye kwa hali na mali ameweka maslahi ya Africa mblele. Ametoa mchango mkubwa wa hali na mali kwa ukombozi wa Africa hasa nchi za Africa kusini. Ni pesa za Gadafi na Warabu wengine kama Algeria na Misri ndizo zilikua zikidhibiti vyama vya ukombozi vya Afrika. Wakati mabwana zetu wazungu walikua wakiwa saidia vikubwa makaburu na wakoloni wengineo, waarabu walikua na waafrika kususia biashara na utawala haramu wa Afrika ya kusini hata mafuta walikua hawawauzii.

Na anaesema waafrika waliopo Arabuni ni maskini basi hajui kitu aende akaone watu wanavyo ishi kwa fahari na wanamiliki mabiashara makubwa.

Fikra duni za kibaguzi hazina maana. Uovu wa mwisho ambao waafrika hatuelekei kuwa nao ni ubaguzi kwa vile tulivyo baguliwa wenyewe.

Unakumbuka alipokufa rais Boumediane wa Algeria, Tanzania iliomboleza siku ngapi ? na kwa nini waliomboleza hivyo - sababu hawa watu walisimama na sisi katika taabu zote za ukombozi wa bara la Afrika, na mwalimu alijua thamani yao.
 
Unaongea nini wewe mbona hueleweki? Obama ni mmarekani na uhusiano wake ni America. Hawa wamanga wa bara la Afrika ni wanachama wa Arab League na uhusiano wao ni wamanga wenzao waliopo Arabuni n.k. Cha kujiuliza hapo AU wamanga wanafata nini? Unaweza kunipa jibu?
Wewe ndio hueleweki na wamanga huwaelewi,unajisemea semea tu.Umewahi kusema hivi kwa ujinga wako.Na mimi nikakujibu hivi naamini ulipwaya.Leo tena unakuja na ujinga mwengine.Wacha wewe!.

https://www.jamiiforums.com/international-forum/67114-bp-oil-saga-hooray-at-last-2.html#post991859
 
Nimesema Waarabu wanachinjana, sijasema lolote kuhusu black Africans, mbona comprehension ndogo ?

Hivi waarabu wakiwa wanachinjana, na Wanyarwanda wakachinjana nao, huku kuchinjana kwa Wanyarwanda kunaondoa ukweli kwamba Waarabu wanachinjana ?

Mbona hii logic fyongo mnayotumia ?
Logic yako ndiyo fyongo zaidi.Ikiwa ni hivyo kulikuwa na nini maalumu cha kutaja kuchinjana kwa waarabu na ukawacha kuchinjana kwa wengine.Huoni kwamba kulikuwa na kitu unaficha na kwa upande mwengine ukaamua kuleta uchochezi tu.
 
Sisi waafrika weusi tunachuki za kijinga sana dhidhi ya Waarabu. Na hizi chuki zimepandikizwa kwenye vichwa vyetu na wazungu katika njama zao za 'divide and rule' au fitinisha utawale. Waafrika weusi na waarabu wameishi bega kwa bega karne nyingi katika bara hili la Africa na wameshirikiana kwa mambo mengi sana. Huyu Gadafi mnaye msanifu ni mwafrika halisi ambaye kwa hali na mali ameweka maslahi ya Africa mblele. Ametoa mchango mkubwa wa hali na mali kwa ukombozi wa Africa hasa nchi za Africa kusini. Ni pesa za Gadafi na Warabu wengine kama Algeria na Misri ndizo zilikua zikidhibiti vyama vya ukombozi vya Afrika. Wakati mabwana zetu wazungu walikua wakiwa saidia vikubwa makaburu na wakoloni wengineo, waarabu walikua na waafrika kususia biashara na utawala haramu wa Afrika ya kusini hata mafuta walikua hawawauzii.

Na anaesema waafrika waliopo Arabuni ni maskini basi hajui kitu aende akaone watu wanavyo ishi kwa fahari na wanamiliki mabiashara makubwa.

Fikra duni za kibaguzi hazina maana. Uovu wa mwisho ambao waafrika hatuelekei kuwa nao ni ubaguzi kwa vile tulivyo baguliwa wenyewe.

Unakumbuka alipokufa rais Boumediane wa Algeria, Tanzania iliomboleza siku ngapi ? na kwa nini waliomboleza hivyo - sababu hawa watu walisimama na sisi katika taabu zote za ukombozi wa bara la Afrika, na mwalimu alijua thamani yao.

Wewe inaelekea unalishwa na wamanga ndiyo maana unawatetea sana. Nimecheki posti zako kazi yako ni kuwabeba wamanga tuu. Sikulaumu sana kwa sababu najua ni njaa tuu inakusumbua. Ni njaa tuu inakufanya uwe kidampa cha wamanga. Lakini kumbuka ni hao hao wamanga unaowatetea ndiyo wamekufanya uwe masikini, wanafanya ufisadi na wanaifilisi nchi yako. Amka wewe.
 
sisi waafrika weusi tunachuki za kijinga sana dhidhi ya waarabu. Na hizi chuki zimepandikizwa kwenye vichwa vyetu na wazungu katika njama zao za 'divide and rule' au fitinisha utawale. Waafrika weusi na waarabu wameishi bega kwa bega karne nyingi katika bara hili la africa na wameshirikiana kwa mambo mengi sana. Huyu gadafi mnaye msanifu ni mwafrika halisi ambaye kwa hali na mali ameweka maslahi ya africa mblele. Ametoa mchango mkubwa wa hali na mali kwa ukombozi wa africa hasa nchi za africa kusini. Ni pesa za gadafi na warabu wengine kama algeria na misri ndizo zilikua zikidhibiti vyama vya ukombozi vya afrika. Wakati mabwana zetu wazungu walikua wakiwa saidia vikubwa makaburu na wakoloni wengineo, waarabu walikua na waafrika kususia biashara na utawala haramu wa afrika ya kusini hata mafuta walikua hawawauzii.

Na anaesema waafrika waliopo arabuni ni maskini basi hajui kitu aende akaone watu wanavyo ishi kwa fahari na wanamiliki mabiashara makubwa.

Fikra duni za kibaguzi hazina maana. Uovu wa mwisho ambao waafrika hatuelekei kuwa nao ni ubaguzi kwa vile tulivyo baguliwa wenyewe.

Unakumbuka alipokufa rais boumediane wa algeria, tanzania iliomboleza siku ngapi ? Na kwa nini waliomboleza hivyo - sababu hawa watu walisimama na sisi katika taabu zote za ukombozi wa bara la afrika, na mwalimu alijua thamani yao.
well said mkuu percival.....umesema ukweli mtupu 100%
 
Back
Top Bottom