Gadaffi alistahili kusokomezwa kijiti cha makalio kweli?

Naomba tafadhali Piddy usidefine hilo tukio in the name of Islam....


Juu ya Colonel Gadaffi.... "Words can not suffice" I am heart broken....
Kwa nji za Kiafrica, Waislamu ndo wanaongoza kwa vitendo vya kifirauni kwahiyo tendo hilo nadhani ni sawa kwao.
Mfano, hapa Tanzania mashoga (gay) wote wanatokea/wanapatikana mikoa ya pwani kama Zanzibar,Tanga,Lindi, Bagamoyo nk
Asilimia 99.99% YA WAKAZI WA HUKO NI WAISLAMU.
Sijawahi kusikia wala kukutana na shoga aliyetokea mikoa ya bara mathalani Kilimanjaro,Arusha, Mwanza,Shinyanga n.k ukiangalia kwa haraka utagundua kwamba more than 80% ya wakazi wa mikoa hii ni wakristo au hawna dini(lakini sio waislamu)
Huu ndo mchezo wao waliouzoea! No offence plz!
 
305475_10150381963188536_765683535_8321735_2018612957_n.jpg


Go Libyans go, do your things.
 
Unajua wanachokifanya wzungu ni u freemason, hawana dini kama ambavyo wanajitangza, wamewashinikiza waasi wachache wa gadafi ambavyo hata hapa tanzania wapo wanayoipinga selikali yetu sasa ili kufanikisha adhma yao wanashikilia vyombo vyote vya habari na kueneza propaganda kuwa gadafi akubaliki libya, kwa wale waliokuwa wanafuatilia libya kulikuwa na mamilioni ya walibya waliandamana green squire kumuunga mkono gaddaf lakini hakuna cnn, bbc wala al jazeera kuonyesha habari zile.

Gaddaf ni shujaa wa afrika aliekuwa amebakia kwa yeyote anaekataa au kukubali. Sasaivi tumebakiwa na shujaa robert mugabe na mandela, wengi wao waliobakia ni vibaraka ambao wanasaidia kuurudisha ukoloni wa kizungu ambao kina kwame nkuruma, nyerere. Mandela, kenyata n.k walipigania kuuondoa apa afrika wao wanaurudisha.

viva gaddaf

Baada Ya gadafi eeh! hata Dunia itakuwa kwetu pazuri! anaowafadhili kuchafua dunia kwa ugaidi hata kwa mihadhaira ya kikafiri sasa walie tu!
 
Naomba tafadhali Piddy usidefine hilo tukio in the name of Islam....


Juu ya Colonel Gadaffi.... "Words can not suffice" I am heart broken....
It is very unfortunate ending for an old man. Am thinking could it be "what comes around goes around?"
 
Hakupaswa kufanyiwa vile. Navyojua ile clip ni fupi. China walionyesha zaidi, alilawitiwa kabisa. Bahati mbaya wameiondoa
Kama hao ndio wanaotegemewa kuijenga libya, tusitegemee kitu.
Hawa wazungu wamemwondoa gadafi, sasa wanatushauri tuwakubali mashoga. Bado tunawasikiliza tu?
 
It is very unfortunate ending for an old man. Am thinking could it be "what comes around goes around?"
Nimeangalia video 3 zinazoonyesha Gadaffi alivyouawa - it was too violent' Hawa 'rebels' walikuwa na hasira sana.
Gadaffi alifanya mengi mazuri na mengi mabaya, alistahili adhabu aliyopata lakini siyo in that way!
 
Back
Top Bottom