Gadaff wanted-interpol

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Interpol wanasema Gadaf na watu 15 wanapaswa kukamatwa popote pale duniani-bbc
 
Kwani hati ya mahakama ya uhalifu ya kimataifa ya the Hague imeshatoa kibali cha kukamatwa kwake?
 
bado JK...mwache atambae tu mtaani...
Hajui kuwa vifo vya Arusha, Mbagala na Gongolamboto vinamdai uhai....?
Na watu wanaokufa mahospitalini na majiani kwa kukosa dawa na umeme kwa matibabu kama operation...umeme unaua wengi ktk theatre kwa kukatika wakati mikasi ikuwa tumboni...atayajibu yote haya...
 
Back
Top Bottom