Gabriel Zakaria

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Kada namba moja wa Ccm hakika Tbc 1 ni ccm nimeanza kugundua wasaliti wa maendeleo ya nchi yetu,huyu Gabriel Zakaria ameingia namba 1666 tunaendelea kulist.
 
Huyu naye ni wale wale wa kujikomba kwa ccm ili apewe safari ya nje,mbona **** tu huyo!!
 
Siku hizi TBC imekuwa ya kichama zaidi hawana uthubutu wa aliyekuwa mkurugenzi wa kwanza (Tido) kuwaanika CCm hadharani.Gabby hata leo alikuwa anajaribu kukatika maongezi ya Lissu kwenye mahojiano nae mana Kamanda alikuwa anawachana mbaya Takukuru..
 
CV yake ikoje huyu mutu? ukute aliingia katika ajira kiujanja ujanja tu, kwa kubebwa bebwa ndo chanzo cha kutumikia ccm kupitia television hiyo TBC1 kulipa fadhila na kujiwekea mazingira mazuri ya kuendelea kubebwa. Marine Hassan Marine nae bado yuko tbc1?
 
Amejitahidi sana kumzuia Lisu kuzungumza tbc. Mwakilishi wa takukuru alikosa hoja kabisa.
 
Katoka Star Tv huyo tena ana tabia ya unafiki na majungu hana lolote na ni mtu wa kujipendekeza sana na anapoamua kujipendekeza huwa haoni aibu sasa walimuitia nini TBC 1 kama wanaogopa maneno si wangetafuta mtu wa Gamba ndio aje au?
 
Edward Hosea mtuhumia nambari one amemuogopa Tundu Lissu (hosea alikuwepo jana Dodoma). Sasa huyo jamaa aliyemtuma kweli ndiye angemuweza Lissu? Magamba utawafahamu tu linapokuja suala la midahalo they are empty headed.

Tunaomba CV ya huyo Zakaria Gabriel, nina reservation kubwa na elimu yake.
 
Katoka Star Tv huyo tena ana tabia ya unafiki na majungu hana lolote na ni mtu wa kujipendekeza sana na anapoamua kujipendekeza huwa haoni aibu sasa walimuitia nini TBC 1 kama wanaogopa maneno si wangetafuta mtu wa Gamba ndio aje au?

Umejuaje mkuu?

Huyu dogo ni njaa tu ndo inamsumbua! Mnafiki sana alimpiga mwenzake majungu mpaka akamua kukimbia. Mimi nilishangaa mbona Baruwan Muhuza amekimbia TBC1 ndani ya muda mfupi ki-hivyo kumbe majungu na kujipendekeza kwa huyu mchovu.

Hebu abadilike asiwe mwanaume kama binti!!
 
Wakati Mh Liss akiendelea kuichana live Takukuru huku zikiwa zimebaki almost dk 9 kipindi kuisha mara nikastukia TBC 1 wamekatiza matangazo ghafla, nikajiuliza kulikon?, km wanamuogopa Lissu kwa nin walimualika?
 
Kwa wataalamu wa saikolojia ukiangalia macho ya Gabriel zakaria utagundua jinsi alivyo SANGWINI.Si mtu wa kuamini ni msaliti mkubwa; angalieni anavyochezesha macho yake wakati anaongea utagundua ni nyoka yule, mzushi, mbeya, kizabinazabina na yote hayo.Hana upeo ni kilaza
 
Mm kinachoniuzi ni ule UWOGA ,G zakaria MWOGA SANA halafu anavyojishika kidevu kama demu!
 
Jamaa kunguru sana, jaribun kumchunguza anavyopepesa macho anapokuwa anaendesha kipindi kwa kfupi hajiamini.
 
Back
Top Bottom