Gaaadeemm!!!..Hebu muangalieni 50 Cent alivyokata weight kwa sababu ya filamu.

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
50 Cent has lost a shocking amount of weight for his upcoming movie 'Things Fall Apart,' in which he plays a cancer-ridden football player.

According to ThisIs50.com, he dropped from 214 pounds to 160 over the course of just nine weeks with a liquid diet and working out three hours a day.

50 is co-producing the film with Randall Emmett, his partner in Cheetah Vision Films.

FIFTY-CENT-WEIGHT-LOSS.jpg



FIFTY-CENT-WEIGHT-LOSS.jpg



 
mhhhhh! kuloose uzito mkubwa kiasi hicho na kuonekana kama mgonjwa ni hatari kiafya...I hope wamemlipa pesa nzuri sana.
 
duh!kudadadeki!bongo wangedai ngoma, aka fagio la chuma, aka umeme!...hahahaha!
 
Movie yenyewe nasikia haitaoneshwa kwenye majumba ya sinema...itaenda moka kwa moja kwenye dvs
 
you got to be kidding Ab-T yani ndo kapungua hivyo??utadhani kawa malnourished or something.hizi pesa hizi lol!!!
 
That shows jinsi wenzetu walivyo serious na kazi zao, bongo ukiambiwa konda unanenepa, ukiambiwa nenepa basi unavimbisha tumbo tu
 
214 to 160 pounds in just 9 weeks??? (liquid diet and 3hrs working hrs daily........tchaaaaaaaaa)
anaonekana kama mzimu!!! (kweli he looks sick......hiyo character imem-fit )
 
teh teh ebana kajamaa kameonekana kama kanatoka south sudan hivi mweeh,hao ndio wanaume wanaojua kuitafuta pesa,sio kina ray na kunumba kila muvi wanataka waonekane kama papaa msofe wakati wanaganga njaa vibaya vibaya badilikeni bana nyie waigizaji vinginevyo mie sitakuja nunua muvi zenu milele.
 
teh teh ebana kajamaa kameonekana kama kanatoka south sudan hivi mweeh,hao ndio wanaume wanaojua kuitafuta pesa,sio kina ray na kunumba kila muvi wanataka waonekane kama papaa msofe wakati wanaganga njaa vibaya vibaya badilikeni bana nyie waigizaji vinginevyo mie sitakuja nunua muvi zenu milele.
jamani senti 50 is starving kabisa!!!!!!!!!!!!
 
jamani senti 50 is starving kabisa!!!!!!!!!!!!
he he heee,kama kateja fulani hivi kanashindia mihogo na biskuti,yaani hapo ndio unakutana nae hivyo mitaa ya mango garden una nyagi kichwani halafu anakuletea hoya hoya,wala hutasita kuchapa makofi,hata akiku-comvise vp kama yeye senti 50,hutamsikiliza wala nini.
 
Hii ni hatari kwa afya lakini sijaona matattoo katika hiyo picha ya kwanza aisee inakuwaje hii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom