SOKON 1
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,134
- 331
Mbunge wa Arusha G Lema leo jioni amekutana na wana udom wote wanaotoka Arusha. Nakuzungumza nao mambo mengi muhimu ya maendeleo ambayo msomi anatakiwa kuyafanya kutoa mchango ktk suala la katiba pia msomi hatakiwi kunyamaza pindi taifa linapoenda mrama kwani wasomi ndio wanaojua mambo mengi kulinganisha na wale ambao hawajapata fursa ya kusoma.
Baada ya hapo akashiriki chakula cha jioni pamoja nao na kuwajulia hali wanafunzi wote ambao aliwakuta cafteria wakila mda huo.
G Lema tupo pamoja ktk kuendeleza taifa lete
Baada ya hapo akashiriki chakula cha jioni pamoja nao na kuwajulia hali wanafunzi wote ambao aliwakuta cafteria wakila mda huo.
G Lema tupo pamoja ktk kuendeleza taifa lete