Future M-Banking ni Wizi?

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Jaman kuna huu mtindo umezuka ukibonyeza *150*55# Then ok! unasubiri jibu na unakuja unacomfirm kwa pin yoyote! ukicheck balance utakuta unalaki nane! ni kwakila sim card! mimi nimezihamishia mpesa ila zimegoma! wataalam tuelewesheni!
 
Usitafute mbinu za kuibi watu. Si ukaulize kwa wamiliki wa sim cards?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom