Fuso za CDM Kwenye foleni Ubungo.

Picha ipo wapi?

Ndio hayo magari machakavu mlionunua kwa Mbowe na pesa za walipa kodi?

Ndugu zangu Chadema plz practice what you preach, kama mnataka mjiepushe na ufisadi mfuate kanuni za manunuzi zipo wazi!

una emotional disturbance na utasumbuka sana.una ugonjwa wa kuiona na kusikia chadema tulia tutakuzika.
 
Je nini impact ya watu wa Mbeya kesho asubuhi watakapokutana na Fuso tatu branded CDM,bendera na pia Music system na nyimbo za Ukombozi?
Tusiandikie mate lakini natumaini kesho tutapa matukio mengi hapa hapa JF, cha msingi tu tuache ushabiki ili akili zetu zitusaidie kidogo kuona mbali.
 
Fuso za Chadema Morogoro kwa safari ya Mbeya ulinzi wa uhakika toka kwa wananchi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom