Fursa za masomo India na Australia

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,415
Endapo unataka kusomea India au Australia na kuwa sponsored, chukua files zilizo attached kwa chini hapo na fuata maelekezo. Muda unaruhusu...

Shukrani kwa aliyenitumia fursa hizi
 

Attachments

  • INDIA APPLICATION FORM.pdf
    30.9 KB · Views: 624
  • FOMU-ZA-AUSTRALIA.doc
    131 KB · Views: 311
  • MAELEZO-AUSTRALIA.doc
    154.5 KB · Views: 380
Nimeipenda hii ya Australia lakini naona haitugusi sisi tulio katika private sectors
 
Nimeipenda hii ya Australia lakini naona haitugusi sisi tulio katika private sectors
mwenye kisu kikali ndo atakayekula nyama....

§
You are currently employed by a Tanzanian public sector organisation or training institution (includes parastatals and other public sector entities)
 
Mkuu, kama hawa wanaotoa scholarship wangejua, wasingewapa wabongo rungu namna hiyo, walitakiwa tuwatumie wao kwenye embassy yao, hapo walipowapa wabongo washike rungu, watatangaza tu lakini wameshauza hizo scholarship kwa watu, au wameshawapa ndugu zao. So hamna hata haja ya kuapply.

Jamani, sisi ni watz tunajuana sisi kwa sisi, hivi kuna kitu hapo? Nichukue form nimpe mbongo aangalie halafu aruhusu nipewe schoalrship? Kama haijakaa kwenye junk box hiyo akapewa ndugu yake.

Nafikiri kama kuna wa kumwandikia email, hakina unatakiwa kuandika kuwa hizo nchi zinazotoa scholarship hazitakiwi kuwapa rungu wabongo. Si haki, si waone wenzao wa Netherland na Scandinavian countries, hawahitaji kupitia kwenye selikali kwasababu wanazijua selikali zetu, ni za kindugu na wivu kibao,
 
I support u mwana wa mungu, watoto wa masikini hatuna kitu hapo tutabaki kuwasindikiza wenye ukoo wa majina makubwa!
 
hii imetulia ingawa nimeikosa kwakuwa nimechelewa kuipata ila kwa wale waliofanikiwa hiyo itakuwa imetulia
 
Back
Top Bottom