Fursa kwa Wafanyabiashara wa mbao - Tanzania Wood Industry Business Challenge

LAT

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
4,401
1,312
Wana JF ambao wapo katika sector hii ya mbao , magogo, nguzo za miti, bidhaa za mbao kama furniture na vyote vinavyoendena na bidhaa misitu

Hii ni fursa itakayoshindanisha michanganuo ya biashara (Business Plan Competition) na baadae fursa mbali mbali zitapatikana kama vile finance for business.., investor match making .., training, market potential (upataikanaji wa masoko)..., mashamba ya uzalishaji wa mbao na kadhalika

Wadau changamkia hii ikiandaliwa na kufadhiliwa na BiD Network foundation ya Netherland wakishirikiana na University of Dar Es salaam Entrepreneurship Center (UDEC) na SHIVIMITA

Details please follow link

Tanzania Wood Industry Business Challenge | Africa Report
 
Back
Top Bottom