Furomu bukoba

Wahaya imarisheni kwenu kumechoka sana

Sio kubaya kiasi hicho brother. Kagera ni bora zaidi ya Lindi, Singida, Sumbawanga, Manyara, Songea, na Pwani. Nitumie email yako nikutumie picha za Kagera kulivyo bora.
 
Mambo ya Bukoba haya. Katika vyumba vya nyumba nyingi za wageni nilizoingia kama sio kukuta godoro limefunikwa na Plastic cover, basi nilikuta chini kuna mkeke kama unavyonekana hapo pichani. Nikaambiwa ndizi huongeza maji mwilini ambayo yakipigwa humwagika. So ilikutokuchafua kitanda ama godoro kuwekwa plastic cover au mkeka huwekwa chini ili kama ukitaka kuyamwaga mwageni mkekani. Ama kweli BUKOBA RAHA.
Hii ni kweli kabisa,nililala pale marine Lodge, magodoro yamefunikwa plastic bags. Nyegera waitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom