Furahia mechi za leo bure na sport24

Arselona

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
642
153
kwa wale wenye ungo ulioelekezwa intelsat906 pale zinapopatikana tvs za bongo mnaweza kufurahia epl la liga leo sebuleni kwenu mki rescan receiver zenu au kwa kuweka 4136 v 7200 kama decoder zenu ni dvbs2 mpeg4 compatible. Wenye mediacom muwe wapole. Ting AAL-003 decoder bwana, we acha tu.
 
mimi mkuu napata signal ya hii freq kama 73% lakini nashanga kila nikiscan hamna channel inayoingia wakati decoder yangu ni mpeg4 na channel nyingine za mpeg4 nazipata kama kawaida. au hiyo s24 imerudi siku mbili hizi? Mana kwa leo sijajaribu.
 
fanya lnbf skewing yan zungusha lnbf yako.una2mia decoder gani?2nasubiria el classico barca v rmadrid
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom