Furaha

nahitaji furaha.........................jamani help me
Pole kwa kua huna furaha!
fanya hivi:
1. hali hyo ya kutokua na furaha imeanza lini!! kama ni hivi karibuni , jiulize ni kwa nini wanzoni
ulikua una furaha na sasa huna?
2. kama hujawah kua na furaha kabisa, basi:
-Pia jiulize ni kwa nini?
-Jitahidi kuafanya kile unachojisikia, kila unapojisikia, unaejisikia kufanya nae.
3. Hata hivyo hapo kwene "unachojisikia kuafanya", na "unaejisikia kufanya nae" unaweza kua na vikwazo
kama vile mtu huyo kua mbali, au kukataa kuoa ushirikiano, au uwezo lakini jaribu kwa upande wa uwezo,
jaribu kurahisisha mahtaj ili kuweza kukifnya hicho,na kwa upande wa mtu wa kufanya nae, tafta substitute.
labda mtu anefanana kitabia, mwenendo, interst n.k na yule ulomtamani.
4. Jaribu kuwa na source nyingi za kukupa furaha.yawezekana unapenda sana tensi mfano, ila mazingira ulipo hakuna tenes
ila kuna vollyball.basi jaribu pia kucheza vollybaaa.
5. Jitahidi sana ku socialize. usipende kukaa pekeyako.
6. kama knajabo la siri linalokusumbua, tafta mtu/watu unaowaamini, shiriki nao jambo hilo.ni njia nzuri sana ya kupunguza hisia.

MWISHO;Kumbuka sio kila tunalolitaka hua kama tunavo taka, lakini sio kila linapokua halijawa kama tunavyota ni hasara.
wakati mwingine ni faida sana, ilatu ni kwa kua tunakua hatujui kua kama ingekua kama tulivyotakanini kitetokea.


Pole sana rafiki.
 
Sawa, furaha utapata lakini na majonzi pia uyategemee kwani maisha hayajanyooka kihivyo kiasi cha kupata furaha kila siku.
 
dah yaan maisha yangu ya sasa yanahitaji sana kukaa mwenyewe yaan watu sijui nawaaonaje
 
sisi tuna shida zetu tunahangaika nazo
na wewe unatuletea zako....tukusaidiaje???????
 
je, unamcha Mungu Muumba wako? dunia hii maisha hupata maana na thamani yake halisi unapomcha Mungu. bila hivyo kila siku utaiona worthless na tafakuri juu ya nini hasa makusudi ya maisha itazidi kukutesa kila uchao na kukuondolea furaha. ni vyema ukaunganisha hali yako hiyo unayojisikia nafsini mwako na mapenzi ya Mungu kwako na kwa ulimwengu huu tunamoishi ndani yake kama wasafiri na wapitaji ili uweze kuiona sababu ya wewe kuwa kiumbe hai hadi leo hii licha ya viumbe wengine wengi kuondolewa na mauti kutoka humu duniani kwa majira, siku na saa alizoziamuru Muumba wetu juu ya kila mmoja wetu!

nakutakia tafakari njema

ubarikiwe sana mpenda
 
Furaha ipi unataka, au upo mpweke?maana furaha unaiweza ipata hata ukiwa mwenyewe tu ni kujipangia tu ratiba,acha kujifungia ndani, na sali sana Mungu wako akusaidie
 
Kitaalamu you are showing symptoms of depression. To help you,answer these question how are old are you? have ever been in relationship?if yes how did it break and how did you feel? Do you live with your parents ?if not since when? Yoy can send me msgs to get help o ca
 
the Bible says ''duniani mnayo dhiki,lakini jipeni moyo. nimeushinda ulimwengu!''. kuna wakati unaweza kukosa furaha,lakini ni challenges za maisha tu mpendwa. lakini unaweza kuchagua kuwa na furaha muda mwingi. amini u dont have to have anything or anyone in ur life to be happy! usiruhusu furaha yako kuzunguruka mtu ama vitu fulani. yote ni maisha,hesabu baraka zako and fall asleep with a smile on ur face! by the way kukosa raha inaweza kuwa ni muda muafaka wa kuangalia uhusiano wako na Mungu wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom