Furaha ya Watoto ndio hii

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
205266_341946069214060_258983270_n.jpg
 
Wamevaa

Tshirt ya Samsung

Tshirt ya DEMACRATIC Change we can believe in

Na Gauni toka kwa fundi kibarazani mwa duka la Mzee Tumbo
 
uji na muhogo asubuhi, happiiiiiii. Naamini watanzania wanaweza ishi bila ya RAISI, WABUNGE, MAWAZIRI hata bila ya serikali kisha wakawa hapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Weeeeeeeh! thubutu hapo furaha mchana ikifika jioni kibano kwa makosa yote ya mchana. 1. Kula kwa watu 2. Kuchafuka kiasi hicho............ adhabu=kuogeshwa maji ya baridi (Tukuyu, Njombe, Arusha n.k) 3.Kuchelewa kurudi nyumbani 4. Kutukana 5.Kuomba hela kwa wageni n 6.Utoro shuleni 7.Kutofanya Homework... Hapo bakora kwenda mbele.
 
Umenikumbusha mbali kweli!!!
 
wow nimekumbuka utotoni.......hapo tukijua ndo mida ya baba kurudi kunarun home kisha tunanawa miguu tunachukua madaftari wote full utulivu, mshua akifika anajua tumetulia tunapata skuli hehehehehhehe
 
Mtihani ukija unakuwa wa 40 kati ya wanafunzi 40. Tehe tehe teheee!
 
uzuri kichwa ilikuwa inafanya kazi otherwise leo nisingesoma kozi nnayosoma
 
Back
Top Bottom