Furaha ya kuvaa nguo za ndani ni leo!?

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Leo ni siku ya uvaaji chupi duniani.
Watu wote wanasherehekea kwa kutaja rangi za chupi aliyovaa leo.
Je yako ina rangi gani?
1. Ukikaa kimya maana yake leo hujavaa.
2. Usipojibu kwa maandishi maana yake umevaa chupi chafu.
3. Ukicheka maana yake utakuwa umevaa iliyochanika.
4. Ukimwonyesha ujumbe huu aliye karibu yako maana yake utakuwa umevaa oversize.
Happy Chupi Day…:bounce::boom:
 
Kwanza msamiati wenyewe 'chupi', hauko ktk lugha za makabila yetu, kuonesha kuwa dhana nzima ya uvaaji wa chupi ni ya kigeni. Lugha mojawapo isiyokuwa na huu msamiati, ni Kisukuma. Kwa hivyo kwa wasukuma, chupi, haina maana.
Note: Dont take this out of context. Wasukuma ni watani zetu
 
mi nipo uchi bado cjaamka ila ntavaa nyeupe maana imebaki hiyo tu safi.
 
Mi hata cjui rang nliovaa, maana si nyeupe, si ya maziwa, afu imefubaa, afu imechakaaa, basi duh! Hata nkidondoka mtoto wa kike itabidi nkimbilie kujiweka vizuri au nkiumwa ghafla wanibadil maana!(am kidin)
 
Sina hakika kama niliyovaa leo ni yangu au ni ya wife maana huwa naangalia iliyo karibu ngoja nikiweza kwenda toilet ntachek rangi then nije kujibu hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom