Furaha ya CHADEMA

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
demotivational-posters-congratulations.jpg
 
...safari hii joka linakaribia mlangoni...
tulijidanganya na kauli, "Nyoka huyo!, na apite!"
 
Huna maana! Unawazia mabaya tanzania yetu. Chadema wapenda amani ni sio huu uchuro unaouwaza mzushi wewe! Go to hell
 
this is upumbavu!

In total agreement with you, pasi[po hitajika fujo kuanzisha fujo ni "upumbavu" tene mkubwa sana, mpaka unafikia watu kufa na wengine kujeruhiwa, nakuaminia kwa ku analaizi hii hali kwa neno moja tu.
 
From HAITI I think...........CHADEMA never set fire on anything....they only got fired at!!!!!!!!

Exactly "they got fired at", kwa nini? kwa sababu ya kufata watu wenye "upumbavu" ambao wamewaambia andamaneni na huku poilisi wamesha tangaza msifanye maandamano, matokeo? tunayajuwa wote, hakuna siri.
 
Back
Top Bottom