Furaha na Simanzi

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Wadau hebu jaribu kujikumbusha siku ambayo katika maisha yako ulifurahi sana na siku ambayo ulisikitika sana.Katika majonzi na katika raha mara nyingi huwa kuna kitu tunajifunza.

Naanza kujikumbusha mimi:

My happiest day: Siku Baba yangu aliponiambia nimefaulu mtihani wa darasa la saba!

My saddest moment: Watching my childrean's reaction the moment I told them their Mom had died!
 
Watching my baby being born was an experience out of this world. Tokea hospitali hadi nyumbani hadi nilipomweka kwenye bassinet sikuchoka kumwangalia. Nilikuwa namkodolea utadhani sijui nini. Sikulala siku mbili nzima kwa sababu nilikuwa na furaha isiyo kifani.
 
Back
Top Bottom