Funny video clips + Photos

slide_2229_28721_large.jpg

A tow truck driver was texting on one phone while talking on the other and unsurprisingly slammed into a car. What was surprising was where he ended up: A swimming pool.
 
Robot,

Hilo gari limeandikwa Babako analo unajua lipo wapi hapa TZ? ......menikumbusha mbali sana!
 
Nimekutana na hii youtube nimecheka hadi basi.....king'oli hapa [ame]http://www.youtube.com/watch?v=J5z4Vs26-TI[/ame]
 
Robot,

Hilo gari limeandikwa Babako analo unajua lipo wapi hapa TZ? ......menikumbusha mbali sana!

hiyo ngoma niliwahi kkukutana nayo kigoma miaka ya 91-92! huo mziki wa kazi baba, kichomi tup! yeeeeeeeeeeeeeereee! teh teh, ngoma inakwea milima ya kibondo, kakonko, bangwe, ikifika katkt ya mlima inakula pancha, hlf kkonda anaruka na bonge la gogo kutega isishuke! mweh long time sana, hivi mkoa wa kigoma bado upo? mitaa ya Bangwe, Mnanila, Kamala, Mji mwema......! dah nitaenda kutembelea nifurahii na wali wa mawese kwa mgebuka.....njanooo kama unakula mise!!!!.........nimecheka sana
 
Kuanzia sasa nitakuwa nawawekea clips za kuvunja mbavu. Hizi ukiangalia ni hakika utacheka hadi unenepe na kusahau kero za siku.

Naanza na hii: Iangalie, haitakaa sana hewani nitakuwa naweka moja kila baada ya siku 3. Nakushauri kama unapenda download it. Ni safe (I assure)

Siku njema

Good! h've a nice day either!
 
Huyo jamaa wa rugby baada ya huo mlipuko sidhani kama macho na sura kwa ujumla vilirudi katika hali ya kawaida...Ni zaidi ya volcano!!
 
Mkuu nashindwa kufungua hiyo attachment kwa sababu ya hiyo winzip. Unaweza kusaidia?
 
Kuanzia sasa nitakuwa nawawekea clips za kuvunja mbavu. Hizi ukiangalia ni hakika utacheka hadi unenepe na kusahau kero za siku.

Naanza na hii: Iangalie, haitakaa sana hewani nitakuwa naweka moja kila baada ya siku 3. Nakushauri kama unapenda download it. Ni safe (I assure)

Siku njema
Mkuu Invisible umeniacha hoi sasa huyo ni mtoto au mpira?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom