Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,056
Rejao ni full HB, kila mtu anamzimika! Unacheza na huo upara na hiyo pua? Hapo ni full busara!hahaha najiuliza kama hivyo alivyo Rejao kaingia photo shop, angekuwa hajaingia je? sura yake tungeipatia matuzimizi ya ziada wallah tena.