Fungus kidoleni

Zheneba

Member
Aug 5, 2011
75
9
Jamani msaada jamani mdogo wangu amepatwa na fungus kidoleni yani ukucha wote umeliwa,ametumia nistatin laikin bado pia fungu zimetokea mgongoni,makwapani na kwenye masikio je atumie dawa gani ushayri please
 
aisee huyo aende hospitali, fungus wa kwenye kucha ni moja ya fungus ngumu kutiba na matibabu yake huchukua muda mrefu, na kama ameanza kupata na sehemu nyingine atakuwa anao wa aina nyingi nyingi, pia umshauri akapime HIV
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom