Fungus juu ya kidole chamkono karibu na kucha

Al shabab

Member
May 21, 2011
71
6
Wife wangu ana tatizo hili fungus imempata juu ya kidole karibu na kucha,wadau naomba msaada wenu kama kuna mtu anafahamu nifanye nini.
 
Huenda mke wako ana fungus ya kwenye kidole. Bahati mbaye fungus hizo zipo za aina nyingi na ni vigumu kukisia dawa inayoweza kumponya. Bali ushauri wangu ni kuwa mpeleke kwa madaktari.
 
inawezekana kweli ni maambukizi ya fungus kwenye kucha na km itangundulika ni fungus, dawa ya kutibu kabisa ipo, bali itabidi atumie dawa hiyo kwa muda mrefu kidogo mara nyingi angalau miezi 3 au zaidi, kwa hiyo ni bora mkamwone professional doctor anaetambulika kwa msaada zaidi.
 
Back
Top Bottom