fungua moyo!

Loooo bora wangu maana yule kichwa ngumu alikuwa anakusumbua bora umepata pumziko la moyo Mbu, ila kabla hujaingia sana deep, make sure usije fanya mistake kama za nyuma, msome, umjue vizuri, pima upendo wake kwako , angalia kama amefata upendo wa kweli kwako? au kuna kitu kingine kafata? Otherwise all the best mydia

wow, thanx so much Gaga...

ushauri wako nitauzingatia sana tu hasa hapo pa
kutorudia makosa ya nyuma.

Mwj1 aliwahi andika 'huwezi msemea mtu lililo rohoni mwake!'
nakubaliana nae sana tu kwa hilo.
Kwasasa sitaki kabisa kulifikiria Soulmate wangu analo lake rohoni.
Itakuwa sawa na ku-judge a book by its cover...

Nataka kuamini she's everything she appears to be.
Kama mimi, she's been through a lot. Naye kwasasa yu tayari for a new beginning.
It will take time mimi naye kuwa kitu kimoja, lakini our experiences huenda zikatusaidia
kuepuka -ve thoughts, na kuzijenga zaidi +ve thoughts, kwani sote "we've been there!" and we know where it hurts!

Mh Mbu............... leo sikuwa najisikia kupost kitu humu, ila hii post yako imenigusa. Hongera sana na tunakuombea kwa Maulana yote yawe kheri.

Amen Mwj1, Inshaallah Mw'Mungu nawe atakuwezesha kwenye safari yako.
Imewezekana kwangu, itawezekana kwako, kwa BelindaJacob, Kwa Chimala na hata Lizzy tunamuombea dua.

hahahahaha kaka Mbu hebu kwanza loh.....yaani kuwa hutakiambiwa ukweli wala urongo asa utajuaje yaliyomkerehesha huko alikotoka? au huyo wako hajakereheshwa, amekerehesha??

Am sorry to ask but are you sure its not infatuation hii ya kwako Mbu? two weeks ..and you are head over heels!!

...Mwj1, ...hizo two weeks tangu nimemfungulia moyo wangu bana. Twajuana kwa takriban miaka miwili au mitatu sasa. Au wewe unaonaje?, ...muda si watosha huo?

Tupeana mawazo jamani, 'mtu mzima naadhirika!'
 
I beg to differ TIME does nt heal anything inaongeza tuu muda wa kumiss aliyekuvunja moyo, LOVE heals every thing, ukimwaga vibaya ukapata mtu unayempenda na akakupenda i.e u av CHEMISTRY, u will be ok. Ila usipopata mtu mnaye click even 10 years maumivu pale pale. Ndo maana nawaambia my friends if ur partner loves u so much if unaamini hauko for real leave him/her mapema kuliko kumsababishia maumivu ya maisha. If mmeagree sisi we are not serious its ok, ila sijui me nakupenda wanna marry me mwenzio anaweka tumaini halafu unaenda kwa mwingine, its baaad.

DAH!...morio ubarikiwe sana. maneno mazito sana hayo,
tena yanafaa yabandikwe ukutani kabisa.
Thanks for sharing.

Naogopa hata kufikiria if she's not for real,...that will hurt!
Mbu won't survive another 'blow!'

Utakuwa humtendei haki your next lover kama utamtaka aparticipate kwenye healing process ambayo hakuisababisha yeye. unatakiwa u-heal youself kwani ulipojeruhiwa hukuwa naye na zaidi sana ukilazimisha utakuwa unamjeruhi the current lover kwani alichokifuata hapo kwako siyo kukuponya bali kuwa your first lover. sas mkiachana utatafuta mwingine wa kuku-heal then utaanza ku penda tena lini?
Mzigo wa mess ups zako na your last lover usizihamishie kwa mpenzi wako mpya please utakuwa hujamtendea haki la sivyo utakuwa unamfananisha na yule aliyepita wakati ni watu wawili tofauti.

Maneno mkuki, maneno mazito sana haya mkuu.
Kwakweli wengi tunajitia kilema cha mawazo pale tuanzapo
kufananisha.

Tabia mbaya sana.
Ubarikiwe sana kwa mchago wako huu.
Aliye na macho na asome na aelewe.
Nami somo limeniingia, namuomba mw'mungu nae anisaidie.

Ni bora kupenda as if i've never been in love before,
as if i've never been hurt before...
love her wholehertedly!
 
wow, thanx so much Gaga...

ushauri wako nitauzingatia sana tu hasa hapo pa
kutorudia makosa ya nyuma.

Mwj1 aliwahi andika 'huwezi msemea mtu lililo rohoni mwake!'
nakubaliana nae sana tu kwa hilo.
Kwasasa sitaki kabisa kulifikiria Soulmate wangu analo lake rohoni.
Itakuwa sawa na ku-judge a book by its cover...

Mbu...........kweli you are falling.........dah.....I wish

Nataka kuamini she's everything she appears to be.
Kama mimi, she's been through a lot. Naye kwasasa yu tayari for a new beginning.
It will take time mimi naye kuwa kitu kimoja, lakini our experiences huenda zikatusaidia
kuepuka -ve thoughts, na kuzijenga zaidi +ve thoughts, kwani sote "we've been there!" and we know where it hurts!

Hili linanipa moyo kuwa mtafanya maamuzi sahihi kuliko mngekuwa karibu kiasi cha kuwafanya mu'move'faster ningehofia na kuhisi dalili za kuumizana......hii experience yenu natamani iniprovie kweli kuwa it matters, kuwa kwa kuumia/umizwa kwenu huko mlikotoka/kuwa before mtatudhihirishia kuwa mmelearn to appreciate pale mnapopata kitu tofauti na kile mlichokuwa nacho before......Personnaly I do believe in learning from our mistakes in the past.........

Amen Mwj1, Inshaallah Mw'Mungu nawe atakuwezesha kwenye safari yako.
Imewezekana kwangu, itawezekana kwako, kwa BelindaJacob, Kwa Chimala na hata Lizzy tunamuombea dua.
Inshallahw am looking forward..nije nitoe ushuhuda nami hapa jamvini.

...Mwj1, ...hizo two weeks tangu nimemfungulia moyo wangu bana. Twajuana kwa takriban miaka miwili au mitatu sasa. Au wewe unaonaje?, ...muda si watosha huo?

Tupeana mawazo jamani, 'mtu mzima naadhirika!'

Wala hata huadhiriki ndugu yangu............ni bora ukayasema maana si wajua.....mficha maradhi, kilio humfichua....kama mmefahamiana kwa muda huo wa miaka miwili au mitatu as friends Mbu I think you are in the right track.........................All the best darling!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nawashauri wanapopenda wasijewekee asilimia zote kuwa na wao wanapendwa na wapenzi wao hawawasaliti.
 
Mbu...........kweli you are falling.........dah.....I wish

Hili linanipa moyo kuwa mtafanya maamuzi sahihi kuliko mngekuwa karibu kiasi cha kuwafanya mu'move'faster ningehofia na kuhisi dalili za kuumizana......hii experience yenu natamani iniprovie kweli kuwa it matters, kuwa kwa kuumia/umizwa kwenu huko mlikotoka/kuwa before mtatudhihirishia kuwa mmelearn to appreciate pale mnapopata kitu tofauti na kile mlichokuwa nacho before......Personnaly I do believe in learning from our mistakes in the past.........

Inshallahw am looking forward..nije nitoe ushuhuda nami hapa jamvini.

Wala hata huadhiriki ndugu yangu............ni bora ukayasema maana si wajua.....mficha maradhi, kilio humfichua....kama mmefahamiana kwa muda huo wa miaka miwili au mitatu as friends Mbu I think you are in the right track.........................All the best darling!!

Mwj1, ...sina hata la kusema...
you've said it all!

Thx luv.

Nawashauri wanapopenda wasijewekee asilimia zote kuwa na wao wanapendwa na wapenzi wao hawawasaliti.

Husninyo, ...kwa huu umri wangu? potelea mbali.
Nampa 100%. Kwanza she's not below 30yrs,...she knows
what she wants in life.

Najua hahitaji kupitia (au kurudia) upuuzi huo tena.
Ayafanye hayo kwa faida gani? Najua anajua it's not worth a thing!

Namuamini. It's up to mimi ku prove kwake uaminifu wangu ili tuaminiane.
Kumtamkia 'aniamini' haitoshi, ...na vitendo pia, hata nitapokuwa mbali naye.
It's a journey.

Mwj1, ...sina hata la kusema...
you've said it all!

Thx luv.

Husninyo, ...kwa huu umri wangu? potelea mbali.
Nampa 100%. Kwanza she's not below 30yrs,...she knows
what she wants in life.

Najua hahitaji kupitia (au kurudia) upuuzi huo tena.
Ayafanye hayo kwa faida gani? Najua anajua it's not worth a thing!

Namuamini. It's up to mimi ku prove kwake uaminifu wangu ili tuaminiane.
Kumtamkia 'aniamini' haitoshi, ...na vitendo pia, hata nitapokuwa mbali naye.
It's a journey.

Mbu kweli you are in love............. naomba tu usiwe tu unatujoki hapa afu mwisho wa siku usema ulikuwa wataka tu kujua mawazo yetu juu ya hili......Maana nionavyo mie its too good to be true

I wish Kaka Klorokwini angekuwepo hapa najua angenisaidia sana kwa mitazamo yake!
 
...halafu Mwj1 wewe,...ndio nini sasa?
ushaanza kuni 'doubt' ee?...Copy & Save, ipo siku nikumbushe
hapa jamvini ukiona nipo nje ya mstari.

Mbu kama kweli umemdondokea mtu kwa kiasi unachoonyesha hapa hongera sana!Hopefully hutoanguka kwenye miamba au changarawe.....

duuuhh...yale yale ya Mwj1 kwamba 'it's too good to be true'
Well, sasa ni vitendo...Wish me luck.
 
...halafu Mwj1 wewe,...ndio nini sasa?
ushaanza kuni 'doubt' ee?...Copy & Save, ipo siku nikumbushe
hapa jamvini ukiona nipo nje ya mstari.
Hahahahahh haya bwana nawithdraw sentence yangu.......................without saving kwani nakuamini sasa ...si wanasema ukiona mtu mzima analia mbele za watu, ujue kuna jambo.........

duuuhh...yale yale ya Mwj1 kwamba it's too good to be true.
Well, sasa ni vitendo...Wish me luck.

I WISH YOU BEST OF LUCKY MBU...........................From the bottom of my heart.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahahahh haya bwana nawithdraw sentence yangu.......................without saving kwani nakuamini sasa ...si wanasema ukiona mtu mzima analia mbele za watu, ujue kuna jambo.........

I WISH YOU BEST OF LUCK MBU...........................From the bottom of my heart.

...maneno si ndio hayo bana.
Thanks again, angalau nitalala na moyo
mweupee... 'wenye mioyo ya kwanini washindwe!
 
black-man-378x365.jpg

...rafiki yangu alinambia ameumizwa sana kwenye mapenzi kiasi kwamba anaona moyo wake umekufa ganzi, amekuwa mkatili,...hawezi kupenda tena!

sad-black-woman2-brown-skin-woman1.jpg

Kina dada, na kina kaka....wazee kwa vijana. Najua kwa namna moja au nyingine
mshakumbana na wenye hali hii. Mnatoa maoni na ushauri gani kuweza kusaidia kwenye situation
hii.

...Unapopendana na mtu wa aina hii, utajuaje anakupenda na si kwamba yumo mguu ndani mguu nje?

Mkuu Mbu, Mapenzi ya kweli bado yapo lakini kuyapata siku hizi ni nadra sana na pia ni bahati kubwa ukibahatika kumpata mtu ambaye atakuonyesha mapenzi ya kweli katika shida na raha. Ni Kweli kabisa wengine wakishatendwa katika mapenzi wanaweza hata kubadilika tabia zao na kuwa na tabia ambazo huko nyuma hawakuwa nazo kama ukatili, kupiga n.k.

Bahati mbaya au nzuri hakuna measurement ya kupimia mapenzi na kama ingekuwepo basi wengi wangepata ahueni badala ya kupoteza muda wao pale ambapo wangegundua kwamba hakukuwa na mapenzi ya kweli bali ni usanii tu au wengine wangeteseka sana katika mahusiano kama yule waliyempenda angejua jinsi anavyopendwa na kuanza kumuendesha mwenzie kwa hila na visa mbali mbali.

Pamoja na kuwa hakuna measurement ya mapenzi bado mtu akikupenda kwa mapenzi ya kweli utajua tu kwa vitendo vyake na maneno yake ambavyo vitakuhakikishia jinsi anavyokupenda. Si rahisi kujua mtu yuko mguu nje au mguu ndani katika mapenzi hasa muhusika akiamua kutokuonyesha dalili ambazo zitamshtua mwenzie kwa namna moja au nyingine. Hivyo kama umependa ni kuhakikisha tu unaonyesha penzi la kweli bila ya kuwa na wasiwasi kwamba huyu mwenzangu ana mapenzi ya kweli na mimi au yuko mguu nje mguu ndani? Pamoja na matatizo chungu nzima yaliyopo ndani ya mapenzi lakini mapenzi ni matamu sana ukibahatika kulipata penzi la kweli, ila ukitendwa uchungu wake ni mbaya sana kuliko hata wa shubiri na unaweza kuumia kwa miaka mingi sana. Waswahili kweli hawakukosea pale waliposema mapenzi kizungumkuti.

YouTube - ‪Justin Timberlake - What Goes Around...Comes Around‬‏

What Goes Around Comes Around lyrics
Songwriters: Timberlake, Justin R; Hills, Floyd Nathaniel; Mosley, Timothy;

Hey girl, is he everything you wanted in a man?
You know I gave you the world
You had me in the palm of your hand
So why your love went away
I just can't seem to understand
Thought it was me and you babe
Me and you until the end
But I guess I was wrong
Don't want to think about it
Don't want to talk about it
I'm just so sick about it
Can't believe it's ending this way
Just so confused about it
Feeling the blues about it
I just can't do without ya
Tell me is this fair?
Is this the way it's really going down?
Is this how we say goodbye?
Should've known better when you came around
That you were gonna make me cry
It's breaking my heart to watch you run around
'Cause I know that you're living a lie
That's okay baby 'cause in time you will find
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around

Now girl, I remember everything that you claimed
You said that you were moving on now
And maybe I should do the same
Funny thing about that is
I was ready to give you my name
Thought it was me and you, babe
And now, it's all just a shame
And I guess I was wrong
Don't want to think about it
Don't want to talk about it
I'm just so sick about it
Can't believe it's ending this way
Just so confused about it
Feeling the blues about it
I just can't do without ya
Can you tell me is this fair?
Is this the way it's really going down?

Is this how we say goodbye?
Should've known better when you came around
(Should've known better that you were gonna make me cry)
That you were going to make me cry
Now it's breaking my heart to watch you run around
'Cause I know that you're living a lie
That's okay baby 'cause in time you will find
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around
What goes around comes around
Yeah
What goes around comes around
You should know that
What goes around comes around
Yeah
What goes around comes around
You should know that
Don't want to think about it
(No)
Don't want to talk about it
I'm just so sick about it
Can't believe it's ending this way
Just so confused about it
Feeling the blues about it
(Yeah)
I just can't do without ya
Tell me is this fair?
Is this the way it's really going down?
Is this how we say goodbye?
Should've known better when you came around
(Should've known better that you were gonna make me cry)
That you were going to make me cry
Now it's breaking my heart to watch you run around
'Cause I know that you're living a lie
But that's okay baby 'cause in time you will find
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around
What goes around, goes around, goes around
Comes all the way back around
 
Mwj1, ...sina hata la kusema...
you've said it all!

Thx luv.

Husninyo, ...kwa huu umri wangu? potelea mbali.
Nampa 100%. Kwanza she's not below 30yrs,...she knows
what she wants in life.

Najua hahitaji kupitia (au kurudia) upuuzi huo tena.
Ayafanye hayo kwa faida gani? Najua anajua it's not worth a thing!

Namuamini. It's up to mimi ku prove kwake uaminifu wangu ili tuaminiane.
Kumtamkia 'aniamini' haitoshi, ...na vitendo pia, hata nitapokuwa mbali naye.
It's a journey.

nimekusoma mbu!
Mpende kwa moyo wako wote usiogope kutendwa. Ni rahisi kuonesha mtu unampenda kuliko kuonesha mtu unamchukia hasa kama huna moyo wa chuki.
Kila la heri kieneza malaria.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...Well, mabibi na mabwana,...
  • kama kuelezea kwenye public domain ninavyompenda mtu is a sin, may Allah forgive me.
  • Kama kuelezea kwenye forum hii, hususan kwenye MMU kutasaidia na wengineo waliofunga mioyo yao, so be it!
  • Naamini, kila mmoja wetu anastahiki 'a second chance!' kupenda na kupendwa tena.
  • Tukilichukulia jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki kama kisima cha kuchotea busara, Wengi tutabadilika.
  • Lakini, ...iwapo MMU itakuwa ndio chanzo cha kuyumbishwa msimamo wa mapenzi yako, then hujajifunza bado.
Kama bro wangu BAK alivyotanabahisha hapo juu, hakuna kipimo sahihi cha mapenzi.
Unapopenda wewe penda tu. Hakuna mkamilifu na wala hakuna maisha bila kuumizwa japo kidogo,
La msingi ni kuhakikisha usiyafanye yale usiyopenda kufanyiwa.

Kauli kama "Niliambiwa mie sikusikia," au unatafsiri tabia za mwenza wako 'kwa kamusi ya JF-MMU'....ni ishara kwamba mtu bado hajakomaa kwenye maamuzi, ...na kwamba Akili haijatulia.
{Akili} Imelemazwa kiasi kwamba unaamini (akili yako) haitoshi kujiamulia na kusimamia maamuzi...

Kila la heri kwenye maamuzi yenu ya maisha.
Nawashukuru nyote mliochangia.
 
Nilishawahi kupigwa moyo na nimpendaye,
Nilishawahi kuumizwa moyo na nimpendaye,
Nadhani aliyenipiga hajui alivyoniumiza, angejua asingekuwa na moyo wa ukatili wa kuniumiza vile.

Nilishawahi kujiapiza na kujiapiza kuwa sitakaa nije kupenda tena.
Muda ukafanya kazi yake.
Muda ukanitendea haki.

Akajitekoza huyu nliye naye. Akaniponya na kunifundisha kitu kimoja:
Bila kujali chochote, Maisha ni shurti yasonge mbele.
Najuta sikumjua mapema.

UKIONA MTU KAKUUMIZA KIMAPENZI, Ujue HAKUKUPENDA. Hakuna mtu ampendaye mtu afu akamuumiza!
Ogopa kupenda PASIPOPENDEKA.
Na hili ndilo watu wengi hasa WANAWAKE wasilolijua, hasa kwa waliowapenda kwa mara ya kwanza.

Babu anarudi kitandani kumshukuru BIBI.
 
Aksante Babu haya nenda kamshukuru Bibi kitandani kwako!!
Umenikumbusha wimbo wa JD.......Wangu una maneno yasemayo
Nilishakuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu, akanacha akaenda
Nikabaki nalia na moyo

WEngi tumeumizwa kimapenzi lakini kama ulivyosema maisha lazima yasonge mbele na pia kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi. Kwa hiyo kuumizwa moyo, sio mwisho wa kupenda
 
Mjukuu mtiifu,

Hakuna penzi tamu kama ulipatalo kwa anayejua kupenda, hasa baada ya kuumizwa...... Na kama hujawahi kuumizwa, basi ujue hujawahi kupenda....au subiri kuumizwa....Kuumizwa ni sehemu ya mapenzi....

Ukishaumizwa ndio utajua raha ya mapenzi utakapompata mwingine akupendaye kwa dhati. Atayaponya majeraha ambayo ulishahisi hayatapona kamwe....

Na.........MUNGU WANGU! Mkipendana ambao wote mlishaumizwa, ntawaoneeni wivu haki ya Mungu.
 
cdhani kama kuna mtu namzmia kama ww hapa jf, ya' discns ar edctv.:A S embarassed:
 
Back
Top Bottom