Fungua hii ujue pa kwenda kutalii

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Jamani nafikiria kwenda moja ya sehemu hizi Qurus, Gunyoda, Yaeda Chini, Kambi ya Nyoka, Geku Mlambo, Tlawi, Gehandu,Daudi, Sumae, Njia Panda, Oldeani, Bashay, Mama Isara, Endagikot,

Preta, Binti Amsi na Afrodenzi nichagulieni pa kwenda kupumzika mwaweza ongezea sehemu nyingine.....
 
Foto%27s+5H-ZBZ+Hydom+001.jpg
 
Kule mama isara ni kuzuri zaidi kwa mapunziko,maana hali ya hewa nzuri,mandhari inavutia!Ukipenda zaidi njoo hapa kudu lodge karatu uenjoy zaidi na Preta
 
Asnate sana Daffi tena Mama Isara nitaenda pale Murray niliposoma O-Level aisee Preta u wapi jamani offer hii
 
Usiache kupitia oldiani alafu unafanya walking kidogo unapanda juu hivi,kuna short way ya kutokea njiapanda unapitia kwenye bonde la mama hau,unakuja kutokea kwenye hoteli ya kibo alafu unakua umefika jiapanda ya oldeani na ngorongoro wanapaita aya dofa karibu kabisa na kararu sec school.enjoy mwanangu maeneo ya hom hayo
 
Aisee asante sana Oldeani umenikumbusha mbali sana na hapo njia panda nasikia pameendelea sana nasikia mtoto wa JK amejenga hoteli mitaa hiyo
 
duuuhh mkuu umenikumbusha mbali sana........Tlawi, Daudi, Endagikot, Meri na Ari ............ Duh!!

Nitarudi nikipata nafasi, ila washkaji wanakunywa gongo wale........balaaaa!!?
 
Ukanda wote unaozunguka mipaka ya hifadhi ya ngorongoro imejaa mahoteli ya kifahari ya mafisadi ya sisiemu alakini kama kawaida yao wanatumia watu mbadala .maendeleo yaliyopo ni kama hakuna kwani waajiriwa wengi wanatoka kenya ila kwenye zile sekta za usafi ndio unakuta wazawa na wanalipwa mshahara wa toka enzi ya Nyerere,
 
Back
Top Bottom