hamic mussa
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 227
- 19
Nna watoto wawili JUMA na HASSAN. Nataka niwape sh 500 wagawane ila nataka JUMA amzidi HASSAN sh 50 tu. Watagawana sh ngapi ngapi?
Hebu kisia kwanza
limekushnda nini?
kwa nn umzidishie mmoja au huyo mwingine wa kambo?
mmoja ni mkubwa mwingine ni mdogo.
wafanyie fair wote usiwape
duh we kweli kiboko. Lakini huo ni mfano tu cna watoto mie.
kichwa kinaniumahesabu ya shule ya msingi ila poa
let juma be x and hassa be y
then x+y=500..........(i) but
x exceed y by 50 then
(50+x)+y=500...........(ii)
solve the equation, here we go, we work for x 1st
x+x=2x then 2x+50=500
2x=450 then x=225 hence
225+50 = 275 take eqn (ii) to calculate y earn. Therefore
(50+225)+y=500 then
y=500-275, y=225
kwa hyo juma atapata 275 na hassan 225.
hesabu ya shule ya msingi ila poa
let Juma be X and Hassa be Y
then x+y=500..........(i) but
x exceed y by 50 then
(50+x)+y=500...........(ii)
solve the equation, here we go, we work for x 1st
x+x=2x then 2x+50=500
2x=450 then x=225 hence
225+50 = 275 take eqn (ii) to calculate y earn. Therefore
(50+225)+y=500 then
y=500-275, y=225
kwa hyo Juma atapata 275 na Hassan 225.
kichwa kinaniuma
nd'o hasara za kukimbia maths shule ya mcngi.
shule ni nn???
kwa kilugha chetu shule manake ni mboga lkn kiswahili maana ya shule mi sijui.
ngoja nitafute kamusi
loading.......
ngoja nitafute kamusi