Fungua hapa: Kitu gani ukikikumbuka huwa unacheka sana?

Vyoo vya shule nikiwa sekondary mtu anaingia chooni akishakunga anachukua mavi na kupiga nayo chata ukutani hapo ndo niliamini shm ya public ina vituko!
 
Siku nilipo kunywa pombe nikiwa mdogo kisha nikajifanya sijanywa
Baba akanituma nikachote maji kwenye Beseni nikachota nika beba kutumia kichwa
Kufika nyumbani hakuna maji hata kidogo
 
Siku waziri wa fedha Zakia Meghdi alipolia bungeni baada ya Kubanwa na Halima Mdee na spika Sita akamlazimisha kujibu Swali huku analia.
 
Cku ya kidhungu bungeni,im ma..im coming from Cuf mbeya
 
Siku mh. Mmoja aliporambwa mbarati baada ya kupatikana na hatia ktk kosa la rushwa enzi za mwalimu.
 
cku nliyokuwa nnajifunza lugha ya kituruk kabla ya kuingia chuon...kwny tren nkamkanyaga mtoto wa kituruk sa baada ya kumwambia samahan...nkajkuta namwambia kuwa na afya njema kwa kituruk( huambiwa watu wakiwa wanakula). bac kwny tren watu wakanza kuangua kicheko! lol! nkabak nnashanga hawa wanacheka nn? coz mwnyw nlikuwa naona nko sawa 100%. ile kushuka wezang wakaniambia kuwa nlikosea. dah! nliumbukaje!!!
 
Back
Top Bottom