Fundifundisho
Member
- Jan 11, 2011
- 77
- 18
Mwaka ndo huo unaisha,
je umejiuliza mapenzi yamekufanyia nini?
1.umetumia sh ngapi ukiwa baa na mademu ?
2.umetumia sh ngapi kulipia gesti kila upatapo demu,
3.umetumia sh ngapi kununua vocha ili kuwapigia simu madem na wakti mwingine kumtumia demu vocha,
4.umetumia sh ngapi kutolea mimba kwa wasichana usiotaka kuzaa nao,
5.umetumia sh ngapi nauli za daladala kumfuata demu au demu akija kwako,
6.umetumia sh ngapi kuwanunulia vijizawadi mademu pamoja na kuwahonga,
7.Angalia viwalo vyako ni vikuu kuu, kula kwako kwa taabu na kodi unalipa kwa mbinde!
Naongea na wewe kijana jipange upya next year usirudie makosa...,
heri ya X mass na mwaka mpya wana Jf.