Funga fungua mwaka wapi ?

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Ingekuwa vipi kama tungejioganize na kujuana wapi pa kuweka vituo ili tukutane wana JF na kubadilishana mawazo. Mimi niko Manispaa ya Bukoba; kama kuna members tafadhali tufahamishane. Wengine mnasemaje?
 
Back
Top Bottom