Fundrise ya Dodoma Yabamba na Willium J Malecela

Kwanini kila mmoja wenu asichukuwe hao watoto na kuwalea nyumbani kwake kama wanae?

Kwanini muendelee kuwatumia uyatima wao kujipatia umaarufu?

Kwanini muendelee kuwaonesha kuwa wao ni wakusaidiwa tu?

Hili la kuchangishana kwa kwa ajili ya yatima au pale watu maarufu wanapojidai kupeleka viroba vya mchele wakijidai ni wema kumbe wanataka umaarufu kupitia yatima siafikiani nalo na nnalipinga kwa nguvu zangu zote.

Mkitaka kuwasaidia kiukweli muwachukuwe muwalee majumbani kwenu kila anaechangia hapo achukuwe mmoja badala ya kutafuta umaarufu.

Nimeamini, Shetani akizeheka huwa Malaika...
 
hongereni sana ila inapendeza habari hii iambatane amount iliyiopatikana.
najua yule le big celeb @ chamwino ataleta picha.
Then jana hukunipa jibu, ni KE au ME??

Imependeza sana kwani watanzania wenye moyo wakutoa wamjichangisha na kuwasaidia yatima wa dodoma kwa wingi wao.
Niambie wewe ni Me au Ke
 
Nikiishi na binti wa mtu nikastiri kihalali si ndio heri zenyewe hizo, kuliko kwenda kuwaanika na kuwaombea michango kama vile sio binaadam. Tunawafundisha nini hawa yatima, kama tunawapenda kwanini kila mmoja wetu asichukuwe mmoja au wawili tukawalea?

Tunawakusanya kama mifugo kwenye mabweni ya yatima halafu tunakuja eti fund raising! this is so pathetic.

Halafu mtu anakuja kujisifu eti fund raising ya yatima imefana.
zomba , hizo Huruma umezitoa wapi, wewe Mtetezi wa wezi wa Mali za uma (Na maaanisha Magamba)
Acha unafiki Mkuu
 
Last edited by a moderator:
mimi leo mpige muue niko pamoja na zomba.
yaani fundrising ya yatima ifanywe na mtoto wa malechela na wa kingunge ngombale mwiru,hii huruma wameipata wapi wakati hawa ni walafi wa kila kitu katika nchi yetu.

zomba kula like kama 50 hivi.
 
Mkuu zomba nimekusoma maneno yako ni mazuri swali je kama watu wakujitokeza kuwachukua hawajitokezi na kituo cha kuwalea hakina fedha kifanyike nini?
 
Last edited by a moderator:
hongereni sana ila inapendeza habari hii iambatane amount iliyiopatikana.
najua yule le big celeb @ chamwino ataleta picha.
Then jana hukunipa jibu, ni KE au ME??

Ha! Hah! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Naona umemkamata kwenye kona...
Kila akijizungusha anakutana na za chembe za Mheshimiwa Mchambuzi...
 
Amin usiamini ule usemi ukisema wa nini watu wanasema ntampata lini. Willium Le Mutuz ameweza kufanya ze shughuli ya fundrising yaani it was whassuo. Watu kibao ghosh inatisha watu kibao.
Eti FUNDRISE YA DODOMA YABAMBA Na Willium J Malecela!...Kaazi kweli kweli, JF imekuwa kokoro!
 
Ndio raha ya JF Kaunga siku nyingine hutokea kukubaliana na yule ambaye hukutegemea kukubaliana naye hata siku moja.

Kwa Maralia Sugu na Faiza Foxy hasirani abadan nisingekuja kuelewana nao.
Yaani chuki yangu kwao ni zaidi ya Farao kwa Mussa
 
Last edited by a moderator:
Kwa Maralia Sugu na Faiza Foxy hasirani abadan nisingekuja kuelewana nao.
Yaani chuki yangu kwao ni zaidi ya Farao kwa Mussa

...Inadaiwa wote wamo humu siku hizi wanacheza kwa jezi mpya (ID) lakini chama kile kile cha magamba.
 
Mkuu zomba nimekusoma maneno yako ni mazuri swali je kama watu wakujitokeza kuwachukua hawajitokezi na kituo cha kuwalea hakina fedha kifanyike nini?

Siku vituo vitakuwa havipo hawatokosa wa kuwalea. Tazama hata western countries vituo vya yatima vya serikali na binafsi ni stopping point tu na sio mahala pa kuwekwa permanent, mahala wanapoweka watoto yatima permanent ni vituo vya makanisani tu, hususan Kanisa katoliki na hilo inajulikana ni kwanini walianzisha mpango huo.
 
mimi leo mpige muue niko pamoja na zomba.
yaani fundrising ya yatima ifanywe na mtoto wa malechela na wa kingunge ngombale mwiru,hii huruma wameipata wapi wakati hawa ni walafi wa kila kitu katika nchi yetu.

zomba kula like kama 50 hivi.

There you are Ringo...............Zomba mkuu leo umekaa ule mkao wa UTU na sio sifa ya mtu likes 100
 
Kwanini kila mmoja wenu asichukuwe hao watoto na kuwalea nyumbani kwake kama wanae?

Kwanini muendelee kuwatumia uyatima wao kujipatia umaarufu?

Kwanini muendelee kuwaonesha kuwa wao ni wakusaidiwa tu?

Hili la kuchangishana kwa kwa ajili ya yatima au pale watu maarufu wanapojidai kupeleka viroba vya mchele wakijidai ni wema kumbe wanataka umaarufu kupitia yatima siafikiani nalo na nnalipinga kwa nguvu zangu zote.

Mkitaka kuwasaidia kiukweli muwachukuwe muwalee majumbani kwenu kila anaechangia hapo achukuwe mmoja badala ya kutafuta umaarufu.

Kwa mara ya kwanza zomba leo ndio nimekuona umetumia akili zako, bila ya kusukumwa na Nape. Au sijui ndio unaamua kuisaliti kambi kama mwenzako Mwita25
 
Kwanini kila mmoja wenu asichukuwe hao watoto na kuwalea nyumbani kwake kama wanae?

Kwanini muendelee kuwatumia uyatima wao kujipatia umaarufu?

Kwanini muendelee kuwaonesha kuwa wao ni wakusaidiwa tu?

Hili la kuchangishana kwa kwa ajili ya yatima au pale watu maarufu wanapojidai kupeleka viroba vya mchele wakijidai ni wema kumbe wanataka umaarufu kupitia yatima siafikiani nalo na nnalipinga kwa nguvu zangu zote.

Mkitaka kuwasaidia kiukweli muwachukuwe muwalee majumbani kwenu kila anaechangia hapo achukuwe mmoja badala ya kutafuta umaarufu.

zomba you have ma like!
 
Mpambe wa le baharia hapana, kuunga mkono anachokifanya kwenye jamii ndio wewe umefanya nini kwa yatima na maskini

mwambie Will asigeuze umaskini wa watanzania kama ngazi ya kupanda kisiasa.. Tunajua hana uchungu wowote na yatima, anajikosha tu aonekane ni mtu wa watu kumbe tapeli tu anatafuta umaarufa wa bila gharama.!!
 
Kwanini kila mmoja wenu asichukuwe hao watoto na kuwalea nyumbani kwake kama wanae?

Kwanini muendelee kuwatumia uyatima wao kujipatia umaarufu?

Kwanini muendelee kuwaonesha kuwa wao ni wakusaidiwa tu?

Hili la kuchangishana kwa kwa ajili ya yatima au pale watu maarufu wanapojidai kupeleka viroba vya mchele wakijidai ni wema kumbe wanataka umaarufu kupitia yatima siafikiani nalo na nnalipinga kwa nguvu zangu zote.

Mkitaka kuwasaidia kiukweli muwachukuwe muwalee majumbani kwenu kila anaechangia hapo achukuwe mmoja badala ya kutafuta umaarufu.

We ni Zomba origina au fake?
 
Back
Top Bottom