Fundo katika muwa!!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Wadau,

Kama mdau wa teknolojia, nahitaji kufahamu ni taasisi /kampunigani hapa bongo inatoa elimu ya Oracle Certification(ikiwemo na kusimamia mitihani).

Nimejaribu kutembelea baadhi ya zile zilizosajiliwa(IMMIT,VLES,New Horizon, UCC)... wengi wana maelezo ya kuvutia ila hwajaweza kunipa takwimu za wahitimu wao(Alumni) ili kujrishisha kabla ya kuwekeza katika elimu hii!!

Ninaomba msaada.Hii ni katika jitihada ya kukwepa kuingia gharama kubwa na kuambulia elimu feki!!:crazy:

Nawasilisha!!
 
Back
Top Bottom