Habarini! Nna mpango wa kufanya masters degree mwakani. Napenda mnipe mawazo kuwa ni kwa namna gani naweza kupata pesa kwa ajili ya kusoma. Kimsingi mimi ni mtoto wa mkulima maana hata shahada yangu nilisoma kwa kulipiwa na bodi ya mkopo ya nchi yangu nzuri ya Tanzania.
Nnachomaanisha hapa ni kuwa, kama kuna mahala ama wanakopesha kwa ajili ya kusoma au ufadhili basi naomba nijue. Mawazo yenu jamani..
Nnachomaanisha hapa ni kuwa, kama kuna mahala ama wanakopesha kwa ajili ya kusoma au ufadhili basi naomba nijue. Mawazo yenu jamani..