Fundi wa umeme jenereta

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,071
185
Jamani kwa mgao huu wa umeme ndugu yangu anahitaji fundi wa umeme wa jenereta ili aweze kucheck jenereta yake na kui-connect kwa nyumba yake (Sinza). Ni jenereta y amatumizi ya nyumbani...

Naomba anayemfahamu fundi yeyote au kama kuna mtaalamu wa aina hiyo humu JF ani-PM au anijibu kwa thread hii ASAP.

Asante
 
''Mwaka huu hatutegemei kuwa na mgao wowote wa umeme kwani mabwawa yote yamejaa maji ya kutosha''!

Vp umeshasahau haya maneno?
 
Back
Top Bottom