Fundi vinanda plz.

Baba advent

Member
Nov 23, 2011
72
16
Jamani wenye ujuzi wa kuripea vinanda,kinanda chetu kiliungua 2007 hadi leo hakijapona licha ya mafundi kupitia na kuchemsha.(yamaha psr 2100)
 
Ebu mjaribu huyu mheshimiwa....yupo mbezi beach kama we nimakazi wa dar..pale karibu na bar maarufu ya nguruko....0754968207
 
Nenda pale KVD mtaa wa makunganya, kuna fundi mzuri wa keyboard, kwaya nyingi zinanunua na kutengenezea keyboards zao pale.
 
Back
Top Bottom