Fundi simu

GABE100

Member
Mar 27, 2012
51
2
Nahitaji kuwa fundi simu, redio, kamera na vifaa vingine vya electronic je naweza wapi kupata mwalimu kwa hapa dar. Na je ni vifaa gani vya muhimu napaswa kuwa navyo hasa kwa cmu?
 
Course ni miezi 3 ada yake ni laki 4 anaetaka anipm chuo ni Veta Registered
 
Back
Top Bottom