Fundi cherehani na msichana mrembo!

.......Ila mafundi ndio zao,akiwa anapima kifuani utakuta badala ya kushikilia tape measure yake vizuri baadhi yao utakuta anagusa hadi titi.
Upande wa hips napo badala ya kupima hips, ataelekea hadi maeneo ya ta.ko ilimradi tu akuguse.
 
pole, sisi mafundi nguo ndiyo kazi zetu, tunakula kwa macho na mikono!
 
Kweli nimeamini hapa JF kuna watu wabunifu, hii hadithi imekumbusha yale niliyoelezwa na Katekista wangu wakati nachukua mafunzo ya komunio. Alisema"Wanangu, mnapotafakari Biblia, msichukue msitari mmoja mmoja na kuliangalia kidunia, bali Neno la Mungu mlitafakari kwa ujumla wake kwa kuenzi Utukufu wa Mungu". Huyu fundi cherehani anafaa tena arejee Mathew 18:8 "If your hand or your foot causes you to sin, cut it off and throw it away. It is better for you to enter life maimed or crippled than to have two hands or two feet and be thrown into eternal fire".
I didnt get that in bold fafanua <Mama Mdogo....
 
.......Ila mafundi ndio zao,akiwa anapima kifuani utakuta badala ya kushikilia tape measure yake vizuri baadhi yao utakuta anagusa hadi titi.
Upande wa hips napo badala ya kupima hips, ataelekea hadi maeneo ya ta.ko ilimradi tu akuguse.
........hafu na nyie dada zangu mkifika hapo kwa fundi mkware utasikia '' fundi yule mzuri,anajua kweli kushona kila mitindo anaijua''.
 
Siku nyingine mpe kipimo... for instance nguo yake inayokukaa vizuri mpeyo achukue kipimo....

Mie mambo ya kushikwa shikwa yani siyapendi....
 
utawasikia hapo hapo, eeeeh hapana hapo chini inabana! pandisha juu kidogo! mara ooh 'hapa' aaah fundi na wewe mbona hivyo, shusha chini kidogo! basi mambo ndiyo kama hivyo!
 
Yoshua bin Sira 18:30. Usizifuate tamaa za roho yako, bali ujizuilie na uchu wake
 
Siku nyingine mpe kipimo... for instance nguo yake inayokukaa vizuri mpeyo achukue kipimo....

Mie mambo ya kushikwa shikwa yani siyapendi....
kushikwa shikwa unapenda lakini na wako mtu umpendaye.
 
I didnt get that in bold fafanua <Mama Mdogo....

Imeandikwa katika Agano Jipya Mathayo 18 msitari wa 8 kuwa: "Kama mkono au mguu wako ukikukosesha, ukate na kuutupa mbali nawe. Afadhali kwako kuingia kwako katika uhai (mbinguni) bila mkono au mguu kuliko kutupwa katika moto wa milele ukiwa na mikono miwili na miguu yako miwili."

Ni tumaini langu nimeeleweka, mwenye mwenye macho na aone, na mwenye masikio na asikie!!!
 
your message has been delivered!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom