"fundi bomba" anahitajika...

sentesi hii yaweza kua na maana zaidi moja...
zitaje.

1.Fundi aitwaye Bomba anahitajika.
2.Fundi anayetengeneza bomba anahitajika.
Katika Kiswahili kuna tungo tata,zenye maana zaidi ya moja.Kwa mfano :Simba ameuawa,yaweza kuwa Simba mnyama ameuawa au mtu mwenye jina la simba ameuawa!
 
Mpigaji umepiga fresh...
au fundi "bomba"...fundi mzuri,mahiri...
 
Back
Top Bottom