"fundi bomba" anahitajika...

-ukienda kula supu kuna baadhi ya wateja huagiza bomba
-ukipanda daladala kama seat zimejaa utamsikia konda akisema '..kamata bomba!'
 
aaaah...ilo mafundi wake wachache...wengi wanaogopa uchafu..

Na cha kushangaza hao hao wachache wanaipenda sna kazi yao hasa kuzibua mabomba ya nyuma ya maji taka hata wakitakiwa kuzibua ya maji safi hawataki wanapitiliza huko nyuma kwenye majitaka!
 
Na cha kushangaza hao hao wachache wanaipenda sna kazi yao hasa kuzibua mabomba ya nyuma ya maji taka hata wakitakiwa kuzibua ya maji safi hawataki wanapitiliza huko nyuma kwenye majitaka!

tobah!..MODS mturehem!
 
Back
Top Bottom